@malkiafoods: Da Edina anasema mwaka huu ni lazima na wadada wenu wajue kupika. Haya muwaoneshe video na wao wapike maandazi. Kwenye kupiga unga ngumi 🤣🤣🤣 Bado nko nacheka. Alivyoenda likizo alipika mama yake akawa anauza jioni na uji, mpaka anaondoka mama yake ashajua kupika maandazi matamu na sasa ni biashara ya mama yake. Am soo proud of her 😍😍 By my za Dadaaa ❤ INGREDIENTS unga 1kg Hamira 1 sachet (1tbsp) Sukari 6tbsp Chumvi 1tsp Iliki 1tsp Baking powder 1tbsp Butter/prestige 1tbsp Maji 2cups ( ongeza isipotosha) #creatorsearchinsights

Malkia Foods
Malkia Foods
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 March 2026 08:24:17 GMT
290667
9646
94
440

Music

Download

Comments

tammynathan10
tammynathan10 :
Hi my wa dadaa 🥰
2026-03-16 10:19:01
44
try4njane
Jk16 :
Kucha safi sana. Safi kabisa
2026-05-11 12:52:33
0
gonsalvaaloyce
Gonsalva Aloyce :
waoo safi sana asante dada Edna wa dada Malkia 🙏🥰👌
2026-03-16 09:11:47
34
misspoet.001
꧁༺ 𝓶𝓲𝓼𝓼𝓹𝓸𝓮𝓽.001 ༻꧂ :
hiii Edna wetu❤️
2026-03-16 09:08:13
10
rahmafluffy
Fluffyrahy :
Its my za dada for me😊♥️
2026-03-20 15:08:09
1
happyzm09
Happy Mwanjela :
Leo nashukuru umeandika hapo ingredients🤗🙏
2026-03-16 14:24:24
14
venykidoty
venykidoty :
Hey my za dada🥰🥰🥰🥰
2026-03-17 04:13:32
1
jacque_store5
jacque_store5 :
My dada ❤️
2026-03-16 17:48:14
0
gladie2021
gladie :
🥰
2026-03-16 09:05:44
2
teleka26
teleka26 :
asante sana
2026-03-17 21:55:57
1
goldengoldie15
🍔Goldie's kitchen🥞 :
hongera edina
2026-03-17 11:22:32
1
happy.manjira
Happy Manjira :
waooooooo Edna ❤️❤️
2026-03-16 10:00:27
0
grade_one_glam
Priscila Malekela :
my za dada tunakufurahia dada edna🥰🥰
2026-03-17 10:40:53
3
suzanamgoe
Suzana Mgoe :
Asante my za dada tangu nianze kupika maandaz jaman leo ndyo nimepika maandaz mazuri malaini jaman kweli maaandaz kukanda ndyo kila kituu🥰🙏
2026-03-24 14:19:23
0
carrenmacha476
Justice :
eeewala ishi na mdada wa kazi kama ndugu Yako,mwanao,mdg wako,mbn utabarikiwa ongera sana malikia najua umewapa wengne somo👏👏
2026-03-17 06:55:06
5
agnesssminja
agy :
jmn nimefurahi kumsikia hongera dada kwa upendo
2026-03-19 10:54:41
1
rotylious
rotylious :
recipe🥰
2026-03-16 08:29:47
6
deborah.urassa5
Deborah 💞 :
my wa dada kweli dada kakufundisha tumefurahia sana 🥰🥰🥰
2026-03-16 14:08:04
7
dajessa259
dajessacollection👗 :
hi my wa dada 🥰 msisahau kukata kama diamond 😂😂
2026-03-27 15:28:33
0
bi.mashalah
bi_ mashalah♥️ :
shukran
2026-04-06 19:52:02
0
fashion_empire_tz
Fashion_Empire_Tz :
Ubarikiwe da Edina 🥰
2026-03-22 10:51:36
0
msgraciousl
Gracious 🎀🌸 :
Asante
2026-05-05 15:23:22
0
racheleliasafi
Rachel Eliasafi :
nusu ya maanazi unatumia Amira kiasi gan na amira
2026-07-21 16:57:57
0
hellen.mollel7
Hellen Mollel :
kucha za Dada safi mno, hongera mwaya
2026-03-16 13:01:25
0
To see more videos from user @malkiafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About