@ibraah.supplement: Unasikia kiungulia mara kwa mara? Chakula kinapanda kooni baada ya kula? Unapata gesi tumboni, kichefuchefu au maumivu ya kifua? Huenda unakabiliwa na tatizo la Acid Reflux. Usipolizingatia mapema linaweza kupelekea vidonda vya tumbo, kuharibika kwa meno na matatizo ya koo. Chukua hatua mapema kwa kubadili mfumo wa maisha na kupata msaada sahihi wa afya. Afya yako ni muhimu kuliko chochote. #ibraah_food_suplement #creatorsearchinsights #AcidReflux #Kiungulia #AfyaYaTumbo