@ufr_tz: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Kange Thabiti (45), mkazi wa Kiloleni mkoani Tabora, kwa tuhuma za kujaribu kufanya utapeli kwa baadhi ya viongozi wa mkoa huo kwa njia ya simu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo machi 16, 2026 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesema mtuhumiwa huyo alijaribu kumtapeli kwa kujitambulisha kuwa yeye ni Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, akidai anahitaji mchango kwa ajili ya harusi ya binti yake. RC Chacha ameeleza kuwa baada ya kupokea ujumbe huo aliamua kuwasiliana moja kwa moja na Waziri Mchengerwa ili kuthibitisha taarifa hizo. Baada ya kufanya mawasiliano, Waziri Mchengerwa alikanusha kuhusika na ujumbe huo na kuagiza mtuhumiwa huyo atafutwe na kukamatwa mara moja. Aidha, Chacha amesema mtuhumiwa huyo amekuwa akitumia laini zaidi ya moja za simu kufanya jaribio la utapeli kwa viongozi mbalimbali mkoani Tabora. Kwa mujibu wa RC Chacha, mtuhumiwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho Machi 17, 2026, kujibu tuhuma zinazomkabili. 📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu. #2026Fanikisha #tunasambazaunyamwezi #Fanikisha #radioyetusautiyetu

Uyui FM Radio
Uyui FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 March 2026 16:16:37 GMT
1277936
40048
1551
6489

Music

Download

Comments

dory.kapinga
Dory Kapinga :
huzuni baba wa watu alikuwa anatafuta rizki mwee maisha haya 😭😭
2026-03-16 19:40:56
461
liwa3554
liwa :
😅watu sio waoga jamani khaaa💔🙌
2026-03-16 17:55:26
834
kuhanda.og
Mbunge wa TikTok 🇹🇿 :
huyu mkuu wa mkoa yupo smart sana, very very obligater 🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-03-16 19:11:17
313
mooh..kiddy
mdogo mooh=🔞 :
kama una miaka 20 adi 35 hauna nyumba ,hauna gari,hauna kiwanja na hauna pesa benk bas usijaly tupo wengi kama wew..!🥺
2026-03-16 21:15:27
176
user605659113272
fizoboy :
hongera sana mkuu wa tabora tokomeza vibaka na matapeli
2026-03-16 17:48:01
226
shebydoobyser
Suleiman :
amefanana sana na Depu
2026-03-16 18:18:22
136
jouseph_92
_BALOZ_XXIII🇹🇿 :
kumbe MILIONI 10 ni kama chai kwao
2026-03-16 20:51:52
109
charity_kidoa05
charity kidoa :
baba aibu gani hii jaman 🥺🥺
2026-03-16 18:13:52
119
user42378137428816
magreth♥️lucas🎀🎀 :
mmmmmmh mbon ni mtu mzima sana mpka aibu MUNGU wangu Eeeee 🥺🥺
2026-03-16 18:03:57
150
user9451555407984
winniekidot :
Aibu naona miye🙌🏻
2026-03-16 19:17:21
101
maxlla23
𝐍𝐆 𝐍𝐢𝐜𝐡𝐨𝐥𝐚𝐮𝐬²³ :
Ila Tabora c ndo makao makuu ya Wizi Tanzania 😃 Pambana Mkuu Mji uwe msafi🙏
2026-03-16 17:51:39
87
hossamkarim40
mr karim💪 :
😳😳mjombaa jamn
2026-03-16 19:31:39
29
user6324814206170
user6324814206170 :
hongera mkuu wa tabora tunataka watumishi kama wewe Asante sana
2026-03-16 17:37:49
113
khadija.massawe
Khadija Massawe :
jamani baba mtu mzima jamani mungu wangu
2026-03-16 18:05:44
87
kidoatz
🌸Kidoa_tz✨🦋 :
Naombeni mnifollow vipenzi vyangu nawapenda❤️
2026-03-16 19:43:02
15
user5181650398738
josure 39 :
njaaa mbaya sana
2026-03-16 17:38:30
50
mumy.chaya
Mumy Chaya🥰 :
ni maisha tu 🥺 Allah atuhifathie baba zetu ni kuhangaika kwajili ya familia
2026-03-17 09:46:28
16
rhodawalameck
MA ❤️ MKUBWA. :
dah!mbaba kabisa,ila njaa hizi🙌🙌🙌
2026-03-16 18:59:43
30
user9870524151671
SIMBA FASHION :
mweshimiwa wapo wengi sana nawapongeza vijana wako wako vizuli sana
2026-03-16 19:22:59
51
mr_kapi97
ben kapi :
miaka 45 hapana, labda kuanzia 55 sawa
2026-03-16 17:48:47
74
jesca.robert6
jesta6 :
mtume
2026-03-16 17:36:39
30
user2191904823550
SIDE ALEX :
Bado Chief godlove
2026-03-16 18:42:27
52
user2469150774200
Alexander..19 :
kazi nzuri makamanda...safi sana
2026-03-16 18:45:14
16
evelyne.doran6
lyne Doran🌹 :
mweee danga langu jaman ilikuwa ela ya kodi😂😂
2026-03-17 06:11:04
11
mawejjeekishaju
kioo changu🥰🌹 :
hongera sana mh.mkuu wa mkoa kwa kukamata tapeli wanatusumbua sana hawa
2026-03-16 21:09:11
10
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About