mm mweny chunusi n pia na mafuta mengi je nawez tumia hii
2026-03-30 10:05:18
3
pretty naah🦋 :
ivi Aya mafuta Yana pakwa usoni
2026-03-29 08:24:34
1
pury kadima👾💦 :
shilingii ngapi jamani
2026-03-24 19:59:03
1
SWABURY 🙏 SUREJEM ❤️ :
2026-03-30 14:35:28
1
It’s sacha🌹 :
Hivi hao wanaouliza kila siku kuwa hayo mafuta yanapakwa usoni? ni wajinga kiasi gani maana kila siku watu wanasema usipake au paka kama ngozi yako aichagui mafuta lakini kuna watu bado hawaelewi daaah 🙌🙌🙌 bora sijawa mwalimu
2026-05-15 04:47:16
1
itangishaka azza :
na usoni mtu anatumia?
2026-03-30 10:43:56
1
ponshen#0803 :
unauzaje
2026-03-29 08:14:51
1
Anna :
unauza shingapi?
2026-03-28 17:12:56
1
Esther chiwipa :
mko wapi Kwan
2026-03-28 11:18:25
0
user93944254247218 :
are you in bmrere
2026-03-26 18:06:52
0
user7131130254133 :
mimi nataka niwe mweupe na weza.
2026-03-21 05:56:28
0
sarah karago :
kipenzi mi ni mweusi nitumie hiyo uliyoonyesha
2026-03-27 10:39:58
0
Auntyvibes 🫦🥵🔥 :
ni ukweli ama mko job
2026-03-26 16:36:05
1
Mireil :
Niko mweusi tena naniko n'a ma bouton mu sura ninaweza tumiya? stp répond moi
2026-03-31 10:59:28
1
mdutch :
Bei gani I
2026-03-26 15:08:29
0
night 💝💖 :
ndio shilling ngap
2026-03-28 16:21:51
0
Nica🍓 😘 :
jmn mbn mimi Nikipak napauka san
2026-03-27 07:41:58
0
user9737820765007 :
sasa natumije nikiipat
2026-03-23 19:21:14
1
Binti wa yesu🙏 :
kweli
2026-03-21 12:49:35
1
phau 💞 :
62 moja au zote mbili
2026-03-28 12:56:42
1
bint salim :
mimi ngozi yangu hua ni kavu nitumie ipi
2026-03-30 22:30:05
1
Okinyo's girl :
mm nikona dry skn
2026-03-25 11:33:17
1
jestina japhet74 :
unapaka Hadi usoni hiyo
2026-05-05 10:10:49
1
To see more videos from user @styles_115, please go to the Tikwm
homepage.