Yaani hii nyimbo leo inazunguka kwenye fyp yangu , alaf kibaya zaid nina maumivu/machungu makali sana 😢 😭😭 Moyo unauma maumivu ya kuachwa ni makali sana 😭😭😭
2026-06-08 22:01:34
6
Rubie :
My King 🤍🩵❤️
2026-03-16 17:45:50
63
💞🐝wayse(y-thira)🦋 :
nadedicate moyo kwenye hustle mama ananiombea na mungu ananiona,,,,i love this song for real🙏🏼
2026-06-10 14:31:18
5
One Peter Drc 🇨🇩 :
Je t'aime mon artiste centano boy 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪✌
2026-05-21 21:36:18
4
Sophie Julius :
nilishazoe kuwa peke mwaka wa tatu bila familia 😢
2026-03-24 15:14:24
9
mwajei :
nakumbuka kipindi cha maumivu
2026-03-24 19:55:55
17
swaggcrazy :
toa nyimbo nyingne
2026-03-23 20:41:16
7
miss "B" 816 :
hey centano me nishabiki yako namba moja kwasababu ya hii nyimbo nikiwa naisikiliza nawazag mengi sana nakupenda broo plz tag me or just reply
2026-06-10 20:08:03
2
MudyB_Tz :
Ngoma ya mbele ya muda💯
2026-03-25 07:44:48
8
shaniez prudence :
to my mum 🥰🥰🥰
2026-03-17 07:08:46
9
MC TALLER :
My favorite song bruv Shukran 💪keep winning
2026-03-18 21:53:22
11
LIGHT outfit⭐️ :
hii ndo nyimbo inaniludishaga kwenye reli asee
2026-03-20 04:08:13
10
JUNIOR 🏀🏀🎾 :
hii nyimbo naipenda sana
2026-03-20 20:55:45
5
madame G💞💞 :
20/20
2026-03-24 19:11:59
2
elisha manyehe 13 :
big up sana brother umepitia nilichopitia Mimi Elisha au?
2026-03-19 16:53:50
6
Dawn Walker :
Moja safi
2026-03-19 11:43:44
5
Faith🥰 :
we centano boy we wakunifanya nilale nisikiliza nyimbo yako usiku mzma. 😁😁 any way big up bro
2026-03-18 06:38:17
6
ms_ reeny 🌹 :
Mme wangu ana maumbile mapana 😭😭
2026-03-29 07:55:46
3
MSUDAN💫 :
big bro 🔥
2026-04-10 20:55:34
2
RAPIN :
nataman one day nipige song one na ww respect sana
2026-04-03 17:11:23
3
Steven nikolaus :
unajua kaka
2026-04-01 16:53:17
2
cheer up lady ❤️💯💯💯❤️ :
sinachuki sinawivu daaaaaah🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-21 09:06:39
1
BRAYERN :
sawa sawa
2026-03-25 08:52:27
2
ȺFƗȻƗØNȺĐØ ɈɌ🎖️ :
2026-03-24 10:13:37
2
To see more videos from user @centanoboy369, please go to the Tikwm
homepage.