@nusura395: #islamictiktok

MR NUSURA
MR NUSURA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 March 2026 19:31:20 GMT
98676
5852
165
770

Music

Download

Comments

aiyyana1994
kids paradise collection 🦋 :
subhanallah Allah atuepushe na siku hii na atujalie mwisho mwema
2026-03-16 19:59:25
167
dream.gurl709
Dream gurl :
Wallah kiama ni kinatisha mnooo Allah atujaalie hesabu nyepes na atujaalie tuwe miongoni mwa sabini elfu watakaoingia peponi bila hesabu wala adhabu🥺🥺🤲🤲
2026-03-21 15:53:52
74
maryam.ahmed0593
Maryam Ahmed :
Subhanallah Yarabi tujaalie waja wako mwisho.mwema utusamehe na.makosa yetu.makubwa na.madogo utujaalie shahada iwe ndio nyimbo.yetu Amiin amiin amiin
2026-03-17 11:12:56
61
syler_44
qamaria :
Ya ALLAH tujaalie mwixho mwema
2026-05-15 16:41:11
1
mister.srk
Mister Srk :
😢😭😭😭 Wallah hii nisiku mzito sana Wala sio hadithi za kufikirika maana hii ndio fursa yakujiandaa hiyo nisiku yamajuto.
2026-03-17 03:24:32
43
bint_jaabir
bint jaabir⛎ :
shukran sana kwa ukumbusho.
2026-05-02 05:27:23
2
user5439921710335
sa😘 :
ya Allah tujallie mwishoo mwemaa yarabii
2026-04-30 12:48:10
2
king_kibe004
king_kibe004🇹🇿 :
Hakika itakuwa no siku ya majuto ,Allah atunusuru🙏🙏
2026-03-17 15:24:59
5
asyaali1
asyaali1 :
Ya Allah grant us good ending
2026-03-19 16:57:40
4
mariam43423
@Zi kdt 106 :
Allah tujalie mwisho mwema wajawako
2026-03-26 08:48:10
2
mrsabouzoh1
MrsAbouzoh1 :
SubhanAllah Allah tujalie mwisho mwema sisi na vizazi vyetu Ya-Rabby
2026-03-17 09:43:57
21
mezeamaanje
mezeamaanje :
wallah umeipandisha iman yangu nilikua kwenye imagination nikajiona nipo wapi Asante sana kwa ukumbusho wa siku hii nzitoallah akujaalie kheri inshall
2026-03-21 16:19:15
10
ummie53474
ummy🥀 :
Allah atupe mwisho mwema
2026-03-18 09:23:50
3
nairah928
@nairah💗 :
Allah atujalie mwisho mwema inshallah
2026-03-17 07:21:30
7
nassiromar990
Nassir Omar :
ikiwa Edit inasisimua hivi je vipi ikifika ck yenyewe , Yaarabb tusaameh wajawako madhaifu natujaalie Toba ya kweli yaarabal aalamin
2026-04-01 19:51:10
4
user787866655166
captain :
Allah atuhifathi
2026-03-20 07:28:11
2
ummulkulthumsalim
ummulkulthum salim :
innalillah wainnailayhi rajiooon
2026-03-16 19:41:20
9
dausi44
MISS-SIMBA 🦁👑 :
SUBHANALLAH 😥
2026-03-20 15:54:26
3
title_traver_26
Titl€ M@kin🍁🍁 :
Mola atupe mwisho mwema inshaallah
2026-03-16 20:25:43
6
cute..rii1
cute..rii :
Subhanallah alla atupe mwisho mwema
2026-03-19 19:00:20
2
yusuphs182gmail4
Mnyamwezi :
ya allah tujaalie mwisho mwema
2026-03-28 20:13:18
1
cute.namoory
Cute namoory🦋♌ :
Mama hata mkumbuka mwana🥺wala mwana hata mkumbuka mama🥺Allah tujaalie mwisho mwema🙏🏻
2026-03-24 16:33:41
3
user1584950172839
Awena ❤️😘 :
Allah tujalie mwisho mwema🤲👏🙏
2026-03-17 20:31:41
3
user5841581071419
user5841581071419 :
yarb nakuwomba utujalie mwisho mwema
2026-03-20 02:48:56
2
daty780
daty :
Allah atupe mwiso mwema🥺
2026-03-18 05:30:20
2
To see more videos from user @nusura395, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About