@halisimax: 📸 Jesca Magufuli (Mb) Binti wa Hayati Dkt John Pombe Magufuli #jescamagufuli #magufuli #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok

Halisi MAX
Halisi MAX
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 March 2026 19:41:42 GMT
1445207
71635
1026
677

Music

Download

Comments

jemo_mandua3
jemo🇹🇿🇰🇪 :
unamwendo wa urais kabisa mwanang
2026-03-17 05:54:08
1220
brightonntare
brightonntare :
Hizo tshirt tunazitaka nchi nzima
2026-03-17 06:49:24
1557
panga231
panga231 :
hizi t shirt tunapataje
2026-03-17 04:06:58
341
mariaombay5
mariaombay5 :
Jeska Ubarikiwe Sana leo Umejua kutubariki wazalendo
2026-03-16 20:17:07
448
mohd_kindanda
KINDANDA_👑 :
tunataka izo tshirt nchi nzima
2026-03-17 11:25:16
160
shangaz1233
135729468 :
Da Jesca naomba uchumba kwako jaman, Nnakupenda mno aise🥰🥰🥰🥰
2026-03-17 08:22:10
80
fatuma.jafari56
FATUMA JAFARI :
sura kama mama yake mashaallah
2026-03-17 17:50:35
8
nairajamal341
Naira Jamal :
machoni anaonekana ana furaha lakini moyo wake una mengi sana tusiyoyajua Mungu ampe nguvu😭😭😭
2026-03-17 08:27:24
116
energy.boetz
Energy boe🇹🇿 :
jesca dada angu mnyenyekevu na mpole sana naomba hiyo t shirt
2026-03-17 05:25:54
96
mancaster832
Mancaster :
una suraa kabisaa ya uwaziri mwanangu
2026-03-17 06:48:16
70
lucy.lucy8480
Mankalii :
nasema hiviii hzo tisheti tunazitaka Tanzania nzima mi nataka4🙏
2026-03-17 15:53:27
40
aalyahligora
Akbar :
mtoto wa Baba☺️
2026-03-17 18:12:59
6
ketty9139276811477
KIM_oddoh :
kipenz cha baba yetu 🥰🥰
2026-03-16 20:14:25
33
bns_tz
BNS_ TZ :
Tunataka hizo T-shirt tafadhari🙏🏽
2026-03-17 10:40:51
9
user85886281084690
terry mc tz :
nakupenda sana jeska Mungu akutunze
2026-03-17 06:20:39
14
user14017956639546
rose 2876 :
da jeska mzur jaman nampenda sana anatabasam zur sana
2026-03-17 11:16:26
23
mwashibaby
mwashibaby :
izo tishert tunaomba watanzania wote tupate jamanii
2026-03-18 14:18:42
5
annajoseph471
kacheche Tbr :
mwenye kujua izo tisheti zinakouzwa nataka kuvaa siku ya pasaka jamani🥰
2026-03-18 18:25:20
6
user4710750826917
twaha jbl :
I love you Jessica ❤️
2026-03-17 08:00:07
5
tinablastus
lady Tina :
Hakika hizi T-shirt ilipendeza tuvae nchi mzima,kumkumbuka baba yetu🥰
2026-03-17 16:05:41
13
witnessthebossbaby1
witness mashelle :
huyu dada jesca anakitu atafika mbali🥰🙏 MUNGU ni mwema
2026-03-17 20:45:08
6
paulomgimwa437
paul mgimwa :
nguo tunazitaka
2026-03-17 04:58:34
8
alainamani533
alainamani533 :
My wife
2026-03-17 10:00:58
9
majingeii0
veracity :
safi sana jesca umejua kumuenzi vema mzee wetu jpm chuma👍
2026-03-17 05:36:48
17
To see more videos from user @halisimax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About