@_ask_turco_: استنو P4 #رمضان #مسلسلات_تركية🇹🇷 #explore #fpy

_Aşk_turco_
_Aşk_turco_
Open In TikTok:
Region: ES
Tuesday 17 March 2026 00:29:18 GMT
19768
453
9
105

Music

Download

Comments

fa.ka820
fa :
نتفرج ع خاطر روزا الجميلة ❤️
2026-03-17 04:08:26
2
g.vf64
مارلين :
كملي بليزززز
2026-06-04 15:56:45
0
sabah.fe__1
Sαвαн 📖🦋❄ :
👏👏👏
2026-04-01 21:55:02
0
dounia_pr
Dounia 🇩🇿🇵🇸🦋 :
💗
2026-03-22 00:05:29
0
kha__di__ja__46
Šd✨🎀 :
😁😁😁
2026-03-19 03:48:44
0
easuluh886
Emo :
♥️♥️♥️
2026-03-18 04:31:31
0
user1512815194017
Mrs. Duck 🤍 :
والله احسن من ينزل 👏👏👏👏
2026-03-17 11:48:36
1
To see more videos from user @_ask_turco_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Paul Christian Makonda, ametangaza maandalizi ya siku maalumu za burudani, utamaduni na shughuli za kijamii zitakazofanyika jijini Arusha kuanzia Desemba 13, 2026 hadi Januari 3, 2027. Akizungumza kuhusu maandalizi hayo, Makonda amesema lengo ni kuifanya Arusha kuwa kitovu cha burudani na mapumziko katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku akiwakaribisha Watanzania kutoka maeneo mbalimbali nchini kutembelea jiji hilo na kushiriki shughuli zitakazoandaliwa. Kwa mujibu wa ratiba aliyoieleza, Desemba 26 itakuwa siku maalumu kwa viongozi wa dini na wenza wao, Desemba 28 itakuwa siku ya watoto itakayohusisha michezo zaidi ya 36, huku Desemba 29 ikiwekwa kwa ajili ya maonesho ya vyakula vya asili kutoka makabila mbalimbali ya Tanzania. Aidha, Desemba 30 itakuwa siku ya burudani itakayowakutanisha wachekeshaji (Comedians) kutoka Afrika, huku Desemba 31 kukiwa na mkesha maalumu wa kuukaribisha mwaka mpya. Ratiba hiyo pia inajumuisha shughuli za utalii na huduma za ukaguzi na matengenezo ya magari Januari 3, 2027, kwa ajili ya kuwawezesha wageni kurejea katika maeneo yao wakiwa salama. Makonda amesema maandalizi hayo yamejadiliwa katika Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na kwamba ratiba rasmi itatangazwa kwa umma. Ameeleza kuwa mpango huo unalenga kuchochea shughuli za kiuchumi, kukuza utalii, biashara na burudani pamoja na kuitangaza Arusha kama kitovu cha shughuli za kijamii na utalii katika Afrika Mashariki.

About