@willy.kuku.farm: TUNAUZA MASHINE YA KISASA YA KUMENYA KARANGA – HARAKA, SAFI NA YENYE UFANISI MKUBWA! Acha kupoteza muda kubangua karanga kwa mikono! Tumia mashine ya kisasa ya kubangua karanga inayokuletea kasi ya kazi na kuongeza uzalishaji kwa muda mfupi ✅ Inabangua karanga kwa haraka na usafi mkubwa ✅ Haivunji mbegu – ubora wa karanga unabaki mzuri ✅ Muundo imara wa chuma unaodumu kwa muda mrefu ✅ Rahisi kutumia na matengenezo ni rahisi BEI YA KAWAIDA: 2,000,000 TSH (Milioni Mbili) OFa YA SASA: 1,800,000 TSH TU (Milioni Moja na Laki Nane) Okoa 200,000 TSH kwa ofa hii maalum! Inapatikana kupitia: WILLY KUKU FARM LTD Wasiliana nasi leo: 0676 464 617 Makongo Juu, Dar es Salaam, karibu na Mlimani City Karibu #creatorsearchinsights
willy kuku farm Limited
Region: TZ
Tuesday 17 March 2026 06:14:46 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @willy.kuku.farm, please go to the Tikwm
homepage.