@sakaya_stoves: Kama unatafuta jiko la mafuta ya oil chafu kwa gharama nafuu, basi Sakaya Stove ndiyo sehemu sahihi. Tunatengeneza majiko imara yanayotumia oil chafu, yanafaa kwa matumizi ya nyumbani, mama lishe, migahawa na biashara mbalimbali. Majiko yetu: ✔ Yanatumia oil chafu ✔ Ni gharama nafuu kutumia ✔ Yameundwa kwa chuma imara ✔ Yanafaa kupika kwa matumizi ya kila siku Bei ya majiko inaanzia Tsh 130,000 tu. Pia tunatengeneza majiko makubwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya biashara, kulingana na mahitaji ya mteja. Tunapatikana Dar es Salaam – Goba Kontena, na tunafanya delivery mikoa yote Tanzania. Wasiliana nasi sasa: 📞 0629 569 976 Sakaya Stove — majiko ya oil chafu kwa gharama nafuu.
sakaya_stoves
Region: TZ
Tuesday 17 March 2026 06:28:16 GMT
Music
Download
Comments
Anam Cara :
Zanzibar mnatuma aw
2026-07-16 12:15:37
0
maria_vintage_077 :
hey may I know the prices I have DM you
2026-04-08 17:34:51
0
kabilit :
lipa
2026-03-17 17:49:40
2
life time :
naomba jiko
2026-07-21 03:33:26
0
generali :
Oil lita ishirini inatumika muda gani?
2026-03-21 16:44:11
0
user3821034295053 :
hi can you please contact me i real nee a 2 plate like this
2026-08-10 13:14:42
0
Hussein mavere :
bei
2026-07-16 18:49:10
0
Winifrida samweli bobewe :
ni oili chafu tu bila umeme?
2026-06-01 06:49:14
0
Milagros Magboo :
how po
2026-04-04 11:24:38
0
Mo single57 :
majiko haya katika utendaji kazi wake yanahitaji na matumizi ya umeme au ni oil PEKEE tu
2026-06-22 12:41:51
0
Said Mlambenyi :
Nahitaji jiko. Nalipaje?
2026-03-19 11:17:10
0
mica_bites😋 :
Yanatumia oil na umeme au naa Betry?
2026-03-21 11:55:58
0
Maurinus Nambuo :
plate mbili bei gani Niko Arusha
2026-03-18 20:30:59
0
NAZGUL :
ndiyooo nataka hiyo jiko bei ngapiiii ?
2026-03-18 16:37:15
0
Abu Hafswa :
plate 2 bei gani
2026-03-17 07:00:23
0
KUNA DAWA :
fungua office kenya
2026-03-18 18:26:16
0
Hussein mavere :
unatuma ela kwanza au ukisha pokea mzigo
2026-07-16 18:49:47
0
life time :
mko wapi.....
2026-07-21 03:33:12
0
mbalu2000 :
Niko holili naeza pata moja na kwa bei gani
2026-08-16 07:22:42
0
Muhongya :
niko Kenya 🇰🇪 kisumu na itaji iyi jiko
2026-07-25 16:44:03
0
jogoo bachera :
plat mbili shingap
2026-05-31 10:31:11
0
🆂🅴🅽 🅺🅰🆁🅰🅽🅸 :
Niletee Kenya, Embu.
2026-03-18 15:52:39
0
CHEGECHELA PESAMBILI :
2026-09-16 21:41:33
0
To see more videos from user @sakaya_stoves, please go to the Tikwm
homepage.