@truenuru_255: “Watanzania najua ipo siku mtanikumbuka na najua mtanikumbuka kwa Mazuri sio kwa mabaya, kwa sababu nimetoa maisha yangu kwa ajili ya watanzania wanyonge” Hayati John Magufuli#MsiogopeTutashinda #TanzaniaNiYetuSote #TUTAKUEPO #mbungetaifa #Tutakuepo
Truenuru 255
Region: ZA
Tuesday 17 March 2026 07:46:43 GMT
Music
Download
Comments
sarim juma💥 :
uriwaza nini baba 🤔🥹🥹🥹
2026-03-17 07:54:34
19
Akram ali :
yaani c siku tuuu milele
2026-05-03 14:04:26
2
anisethyosiajoseph TikTok :
respect
2026-03-19 04:18:25
1
R P Passiano :
kweli sana tunakukumbuka sana baba😃😃😃🥰🥰🥰🥰
2026-05-08 18:38:32
5
JOSEPH MADEBO :
RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE MAGUFURI APUMZIKE KWA AMANI 🙏
2026-05-09 14:40:22
2
user120463428799 :
jamn mm Niko nalia
2026-05-02 09:13:38
1
hamza lipuye :
ukisema baba wee mungu akupumzishe uko tunakukumbuka sana
2026-05-20 12:50:55
3
Zainabu Kimwaga :
dahhhhhh eee mungu najua unasikia dual zetu naomba umrehebu baba yetu na umpe pepo nzuri inshalla
2026-03-17 14:41:01
6
lupamba :
Sijui ulifikiria nin jama maana wallah tunakukumbuka baba
2026-05-24 16:26:59
1
Richard🦅🦺 :
very true we miss u so much
2026-05-01 18:44:11
1
user3633823951903 :
kweri,tunakukumbuka,baba
2026-04-20 14:15:56
1
yoha tz :
kwel tutamkumbuka huyu mwamba
2026-04-22 13:58:07
1
Keneth Mpinzile :
Ameni mungu hakupe hata nafasi ya kuhongoza huko.mbinguni
2026-05-10 13:52:12
1
Alain malanda :
lala salama
2026-05-21 23:35:48
1
igembe sabo :
tunalia tu
2026-04-26 15:28:08
1
Upendo Mwambigija :
yaniiiii tunakukumbuka kweli baba
2026-03-17 16:13:44
2
user4517337718186 :
ulikuwa mbele ya muda
2026-03-18 11:22:48
2
King jr Mm@lila :
na tunakukumbkaaaa kweliiiii kwa haliii hiiii
2026-04-18 05:32:37
2
Levin cute🥰 :
Pumuzika kwa amani baba
2026-03-25 19:25:09
1
kikomarz :
najua nae anamabaya yake ila for the greater good wakadili nae Mungu awalaani wote
2026-03-17 18:38:31
3
Consolatha Lugome :
siyo siku jamani tunamkumbuka Sana tu
2026-03-17 19:14:23
2
Feisal Mohamed :
nikweli raisiwangu
2026-03-18 03:55:51
1
elizabeth simba :
pumzika kwa Amani baba😭
2026-03-17 11:31:04
2
James Juma :
yan inauma saanaa
2026-03-17 08:39:36
2
Lazaro Gabriel :
wow
2026-03-17 16:08:43
1
To see more videos from user @truenuru_255, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.