@officialsiratv: Ukifatisha kwa khushui haya anayosema Sheikh walid Biidhniallah mambo yao yatanyooka na utafanikiwa In shaa allah🙏❤️ Sikiliza vizuri maana katoa na utofauti wa Kazi na Rizki 🤔. #lailahaillallahmuhammadrasulullahﷺ♥️🥀✨ #i̇slam #islamicpost
Alhamdulillah najitahidi siku hzi kufanya haya yote na namuomba Allah azidi kuniongoza kuyatenda haya yote
2026-04-21 06:08:24
36
dada wa familia💞💞 :
Alhammdullillah huu ni uradi wangu mkubwa sana Allah anidumishe ktk hili🤲
2026-04-10 15:47:11
26
Abuu maujude :
Allahuma swal wasalim wabarika alayh
2026-06-01 11:10:01
2
MamyD⚘️. :
Nipo n ushahiddd n hii kit Waullah .Allah anijibuuu Nyie 🥰🥰
2026-04-24 15:50:29
13
Shakila Idrissa :
Allah aendelee kukupa hekima shehe wangu karibu Arusha sanaa
2026-05-25 17:51:07
4
Muna Bhai :
Allah Barikly Fiiy Mola Amrehemu Shekh Wetu Amsamehe Madhambi Yake Ampe Pepo Kwa Rehma Zake
Ametutoka Lakini Bado Twanufaika Na Elimu Zake Alizo Tuachia
Shukran Shekh Walidiy Kwa Kumpa Haki Yake Shekh Wetu Allah Barikly Fiiy
2026-05-02 15:05:00
4
Miki crazy 🤪 :
tusiejuwa tuendelee kutumia hela vizuri huenda ikakusaidia
2026-06-01 09:20:17
2
kuvunaz :
😃😃😃 shukran Jazzakallahu kheir
2026-04-14 14:19:09
6
Miles_Omar :
to the end of my life i wil keep doing this
2026-05-08 18:17:49
1
Chieftain_Hunter :
Mimi ni shuhuda wa hilo hii wiki Alhamdulillah
2026-05-08 16:43:56
4
eidshemmaz :
SubhanaAllah.
2026-04-30 11:57:57
1
user534790077 :
hamdulillah
2026-05-09 17:43:51
1
Fatie :
Asante sana Shekhi
2026-04-11 11:44:53
1
NASFRANCIS :
kweli kabisa shehe
2026-03-22 08:08:23
4
Doctor Fatma :
kweli shekhe 🙏🙏
2026-05-01 02:46:15
2
.. :
shukran allha kujazi kheri
2026-03-21 14:11:45
3
Zashh Beauty8 :
Alhamdulillah Alhamdulillah
2026-04-30 05:20:35
1
CHEGE LUBRICANTS & SPARE PARTS :
Alhamdulillah
2026-04-18 07:02:35
4
AH throat care :
ahsante kwa ujumbe sheikh
2026-04-04 07:59:02
5
Tibu Art🎨✏️🖌 :
sahihi
2026-04-12 15:50:41
1
Mpumalanga :
S A W
2026-04-17 23:43:01
1
Zee la hekima :
naam
2026-06-07 14:59:08
0
miss queen 👸 :
Allahu akbar
2026-06-03 16:42:19
0
Fatuma Omary :
taqbir😭😭😭
2026-06-04 10:46:22
0
user9374685854453 :
alhamdulilah hadha amaliiiiyyy
2026-06-03 18:47:40
0
To see more videos from user @officialsiratv, please go to the Tikwm
homepage.