@boazdanken: Tukutane Mwanza Jumapili hii #TotalSurrenderingToJESUS 📅 22March.2026 Ukumbi wa Nyakahoja Hall karibu na. Office za Jiji Mwanza ⏰️ 14:30 Saa Nane na nusu Mchana Milango itafunguliwa Hakuna kiingilio kabisa #GodisReal2026 #RevelationofJESUS