mungu unge nichukua Mimi unge muacha huyu baba nampenda sana maana ni mtenda haki na Mimi napenda haki
2026-05-29 17:58:58
6
kalonga@ 2008gmil・com :
MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI
2026-05-22 11:33:00
6
cleriah 😊 :
Baba baba baba endlea tu kupumzika Kwa Aman ila tumemiss sana 😭tulichelewa San kuyaon mazuri Yako baba Sina mengi Kwa Leo 😭😭
2026-05-29 11:54:58
5
cute ree🌺 :
mungu aiweke roho Yako mahari pema peponi jembe letu🙏
2026-05-10 18:21:03
8
Barnaba Wilfred :
kwanini mungu ulimchukua
2026-04-13 12:21:36
6
Julius mgala tz :
gonga kam unampenda magufuli
2026-05-11 14:26:50
6
Barck823 :
mungu ungemchukua annko T utuachie Annko magu🧐😔
2026-03-22 19:43:32
7
@storm.fayy💫 :
nimejikuta nacheka na yeye kwa huzuni
2026-05-18 09:49:38
5
mbosso :
Tumekukumbuka sana rais wetu daah inauma sana
2026-04-14 09:49:45
7
Andrew Chomba :
Mungu akulinde mzeeee watanzania bado tunakupenda japo aupo na sisi baba
2026-04-13 20:01:28
6
Mminge :
kuna mdaa una weza sema mungu ametuonea ss wa Tanzania 🇹🇿 ukikumbuka uongozi wa magui😥😥
2026-03-18 08:16:44
193
Obza ob~✅️ :
nachekq kama maziri 🤭. ila tushakukubuka Taifa lako😭😔.. MUNGU AKULAZE MAALI PEMA PEPONI...
AMEN🙏🙏
2026-03-17 18:45:07
120
danny :
ALEX KIMELA, Fundi Sana big up
2026-04-11 08:53:24
5
Mwasham Khery :
ila huyu baba hakuwa faràja ya familia yake tu bali ya Tanzania 🇹🇿 nzima ndio mana Leo wote tunamkumbuka wengi tulimpenda japo mtu huwez kupendwa na wote October 29 nilimkumbuka sana wakat nipo ndani na watoto wangu
2026-03-18 09:12:21
111
🅳🆁. 🅹🅴🅵🅵🆁🅴🆈 🇺🇸🇨🇦 :
THE BEST PRESIDENT IN TANZANIAN HISTORY
2026-03-18 09:30:17
30
To see more videos from user @_alexee_05, please go to the Tikwm
homepage.