@emerson.ldcf: #publicidade Kit Parafusadeira A Bateria Com Jogo de Ferramentas Maleta 200 Peças https://br.shp.ee/x2xbyftt?smtt=0.0.9 Venha conferir meu perfil de vídeo no Shopee! https://br.shp.ee/ca1y276?smtt=0.0.9

Emerson LDCF
Emerson LDCF
Open In TikTok:
Region: BR
Tuesday 17 March 2026 16:20:13 GMT
248
1
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @emerson.ldcf, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Kisa cha Mja Aliyetubu Baada ya Miaka Arobaini ya Maasi (Simulizi inalotajwa kuwa ilitokea katika zama za Nabii Musa (a.s.) Inasimuliwa kuwa kulikuwa na mtu miongoni mwa Bani Israil ambaye alimwasi Allah Mtukufu kwa muda wa miaka arobaini bila kuacha maasi. Siku zikafika ambapo mvua ilisimama kunyesha, ardhi ikakauka, mazao yakaharibika, na watu wakakumbwa na ukame mkubwa. Nabii Musa (a.s.) aliwataka pamoja na Bani Israil kuswali Swala ya Kuomba Mvua (Istisqaa), lakini mvua haikunyesha. Nabii Musa (a.s.) akamuomba Allah kujua sababu ya kuchelewa kwa mvua. Allah akamwambia: Miongoni mwenu kuna mja ambaye ameniasi kwa miaka arobaini. Kwa sababu ya maasi yake mmezuiliwa mvua kutoka mbinguni. Musa (a.s.) akauliza: Ewe Mola wangu! Tufanye nini? Allah akamjibu: Mtoeni miongoni mwenu, na akitoka, mvua itanyesha. Ndipo Musa (a.s.) akawaita watu wake na kusema: Enyi Bani Israil! Miongoni mwetu kuna mtu ambaye amemwasi Allah kwa miaka arobaini. Kwa sababu yake tumezuiliwa mvua. Atoke miongoni mwetu ili Allah aturehemu. Yule mtu aliposikia maneno hayo, alitambua moyoni mwake kuwa ndiye aliyelengwa. Lakini akaingiwa na hofu akisema: Ewe Mola wangu! Nikitoka mbele ya watu nitafedheheka, na nikibaki, watu wote wataendelea kuteseka kwa sababu yangu. Sina pa kukimbilia isipokuwa kwako. Ninatubu kwa toba ya kweli, na nakuomba unisamehe na unisitiri. Muda mfupi baadaye, mawingu yakakusanyika na mvua kubwa ikaanza kunyesha. Musa (a.s.) akasema: Ewe Mola wangu! Mvua imenyesha, lakini hakuna mtu aliyekuwa ametoka. Allah akamwambia: Nimeiteremsha mvua kwa sababu nimeikubali toba ya yule mja aliyekuwa ameniasi kwa miaka arobaini. Musa (a.s.) akaomba: Ewe Mola wangu! Nionyeshe huyo mja ili nimpongeze kwa toba yake. Allah akamjibu: Ewe Musa! Nilimsitiri kwa miaka arobaini alipokuwa ananiasi. Je, leo baada ya kutubu kwangu nimfunue? Hakika Allah ni Mwingi wa Rehma na Mwingi wa Kusamehe. Mara ngapi ametusitiri pamoja na makosa yetu, na bado ametufungulia mlango wa toba? Laa ilaaha illa Anta, Subhaanaka inni kuntu minadh-dhaalimiin. (Hakuna mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Wewe. Umetakasika. Hakika mimi nimekuwa miongoni mwa waliodhulumu nafsi zao.) Ewe Mola wetu! Tusamehe madhambi yetu, tupokee toba zetu, na utujaalie tufariki tukiwa katika utiifu Wako. Aamiin.🤲🤍 🕌 Usiache kufollow ukurasa huu kwa ajili ya Allah ☝️ Lengo letu ni kusambaza elimu ya dini, mawaidha, na kumbusho yanayoweza kuimarisha Imani zetu kila siku. Huenda post moja tu utayosoma hapa ikawa sababu ya kupata kheri kubwa duniani na Akhera. share kwa wengine, na uwe sehemu ya kueneza ujumbe wa kheri. Na mwenye kuelekeza kwenye kheri, atapata ujira kama wa mwenye kuifanya. Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wanaosambaza mema. 🤲 amiin #IslamicQuiz #SwaliLaLeo #Uislamu #ElimuYaDini #Malaika

About