@hasacomlimited: BYD Dolphin Surf ⚡🔌🚗 Kutoka Hapa Showroom za BYD Vingunguti Dar es salaam Tanzania🇹🇿 Magari ya umeme yanaanza kuchukua nafasi katika soko la Tanzania. Je na wewe unafikiria kuhamia kwenye magari ya umeme? #driveelectric #byd #goelectric #evcharging

HASACOM
HASACOM
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 March 2026 10:38:45 GMT
20630
810
39
32

Music

Download

Comments

totozima
totozima :
right hand zipo?
2026-03-18 13:02:13
1
ottie_fx
Ottie Trapking :
maelezo simpo and clear guud
2026-03-19 19:23:53
6
assistanttech1
Assistant tech favorite place :
bei ni ngapi
2026-04-03 04:02:10
1
r0peach
👽 :
Chaji ni Bure right?
2026-09-08 12:06:50
0
teflon_tz
Teflon_tz✨️ :
😂 sasa unanunua gari 67million why na ni electric
2026-09-09 12:54:20
0
jopalii5
JOPALII :
shida nikwamba hamja waambia wachina sisi ni wazee wa bei rahisi kutoka japani ndiomaana tuna tumia passo na ist use from japani mpaka una ipata na kilakitu mill 18,000000 na gari ipo vuri
2026-05-07 20:14:33
3
katuni_jabari
Katuni_Jabari :
charging time ni 4hrs mpaka full sio?
2026-03-19 19:41:04
1
tariqzungu
Tariq :
Unawez tumia unit ngap mpk kujaa
2026-06-05 19:15:34
1
___deejaymz
Dee :
Hizi gari ziko vizurii sana aiseeh
2026-09-11 17:45:08
0
abkar_official
abkar :
kwenda Zdar kutoka kigoma?
2026-04-05 09:18:05
1
munahuptown
Munah uptown store :
Umetisha kinoma
2026-03-22 06:12:46
1
peter.sauli3
Peter Sauli :
dogo mosha
2026-03-19 14:57:39
1
nadospike4
Taymour -08 :
Shingapi
2026-06-06 09:55:43
1
qyrux_badan
Qyrux_Badan :
inatumia umeme wa shingapi
2026-05-18 08:47:40
1
afya.102
Afya102 :
top up mnafanya 😅? nihamie kwenye umeme 🔌
2026-04-06 04:58:21
2
individual301
INDIVIDUAL 301 :
shida yako hutaji bei
2026-03-18 11:10:54
1
kisiwanifishersmbeya
KISIWANI FISHERS 🎣🐠MBEYA :
nina. 65m ntapata
2026-04-06 09:03:26
1
johnloudercarlos
John Louder Carlos :
engineer magari🤜🤣
2026-03-23 11:50:29
2
kevnlak
Kevn :
natembea km ngap kwa full charge
2026-03-21 18:37:29
1
mosesdm3
Engineer by Nature :
Fanya kuichambua na hiyo pickup mzee
2026-03-19 19:33:18
1
To see more videos from user @hasacomlimited, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About