@veriafya: Maziwa freshi humsaidia mama anayenyonyesha kuimarisha Mifupa ya Mtoto wake. Pia Nyama ya Ngombe, Mbuzi, Kuku, na Mboga za Majani humsaidia kuzuia Upungufu wa Damu kwake na mtoto pia. Hamida Hassan Kalambo, Mtaalamu wa lishe, Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Video: MNH-Mloganzila TV