@branding.danny: Tag your friend and share this story to everyone you know. Ukiona kwenye video zangu ninafanya sala, elewa kuwa nakuwa natangaza ukuu wa Mungu juu ya maisha yangu, kila mtu aone kuwa sioni haya kupiga goti na kusali mbele ya watazamaji wote. JESUS IS KING Sijui unapitia stage gani kwenye maisha, ila nakusihi sana, Mtumikie na mtegemee Mungu kwa moyo wako wote, heshimu kila mtu na kuwa mwaminifu kwa kila utakayekutana naye (that’s how I met right people), unapo pata nafasi ya kufanya kazi (Fanya kazi sanaa kama hutokuja kupata nafasi nyingine), penda sana kujifunza kila siku na usiige maisha, ishi kulingana na uwezo wako ndani ya muda uliopo. Unaweza ukawa upo kwenye depression huna hata mia, hata mimi nimepita huko kwote, umemaliza chuo umeajiriwa mshahara hautoshi hata mimi nimewahi kumaliza chuo na kuajiriwa, kila jambo lina wakati wake ila wakati wa kufanikiwa ni wakati uliopo, usisubiri kesho. We fought together, slept hungry together, we will make it together my brother 🫶🏻❤️ @masuka_tz JESUS IS KING 2026 👑
brandingdanny
Region: TZ
Wednesday 18 March 2026 12:28:51 GMT
Music
Download
Comments
janety.kyeja :
amen kaka..
2026-03-18 12:49:26
5
cutie 💓 :
Galatians 6:9
“Let us not become weary in doing good, for at the proper time we will reap a harvest if we do not give up.”
2026-05-06 11:47:08
4
@savage_queen🖤 :
hello 👋 do you teach sisi ambao tuna ndoto hio
2026-04-29 16:59:09
2
DAVID EDWARD :
great nakubali
2026-03-18 12:37:40
6
T.mallic💖🙏 :
God will never leave his people to suffer 🙏🙏🙏
2026-04-21 09:46:38
2
Erica rice store💜🤍 :
my role model. siku moja nitakuwa kama ww muhimu kutokukata tamaa🙏
2026-06-25 19:55:40
1
vina_store_TZ :
God is wonderful congratulations bro
2026-03-21 19:42:52
2
debs🌹 :
Congrats stranger
2026-05-01 06:40:47
1
Salmah🦋 :
wakat wamung ni sahihi sana
2026-04-29 07:19:53
1
jessgiddey :
God is Good
2026-03-18 13:02:21
2
laspy pelly :
Mh .trust the process
2026-05-02 21:59:59
1
Medvon Traves :
Moves
2026-05-02 15:39:20
1
ann_3323 :
kila kitu kinaanza chini
2026-04-28 13:57:28
1
kingofflex6 :
Search bar😄😂😂😂
2026-04-28 15:53:12
1
janelove91💞 :
wakati wa bwna ni wkt sahihi🥰
2026-04-28 07:49:02
1
Dp_Motors :
Good
2026-05-06 18:44:13
1
Mirley :
God is Good🙏😢
2026-05-02 07:56:22
2
moud 15 :
one nitakua kama ww
2026-04-30 19:15:39
1
Neyla 🤎 :
unanitia moyo sana brother
2026-04-22 11:52:54
1
MII😘 :
yesu n rafiki wa kweli
2026-03-18 13:33:52
4
RK FASHION & HOME ESSENTIALS :
All the time........🥰
2026-03-19 08:26:12
1
Johhane Abrenel :
Naomba nielekezeee
2026-03-21 07:03:04
1
Miguel :
Keep winning champ naomba kujua namna ya kuanza na hizi business kama hutojali I mean capital looking forward to hear from you 🤝🙏🙏
2026-04-28 08:05:47
2
classy watchez tz :
Now shida yangu ipo kwenye pricing but I love the hustle
2026-05-03 19:07:18
1
To see more videos from user @branding.danny, please go to the Tikwm
homepage.