@bonusouzazi_tumbo: 🔴 Maana ya Pelvic Inflammatory Disease (PID) Ni maambukizi ya via vya uzazi kwa mwanamke, hasa kwenye kizazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria wanaotoka sehemu za siri kwenda juu ndani ya mwili. ⚠️ Madhara ya PID - Kuziba au kuharibika kwa mirija ya uzazi - Kushindwa kupata ujauzito (utasa) - Maumivu ya muda mrefu ya tumbo la chini - Hatari ya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy) - Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni - Homa na maumivu wakati wa tendo la ndoa tuwasiliane kwa huduma, na ushauri Bora. #trendingvideo #fypviralシ #fypシ゚ #healthtips #viralvideo