@winnie_na_afya: Kinywaji cha asili cha moto kinachoweza kusaidia afya ya figo 💧✨ Mdalasini + Karafuu + Limao + Asali… Mchanganyiko rahisi lakini wenye virutubisho vingi vya kupambana na sumu mwilini (antioxidants) na unaweza kusaidia kuboresha mzunguko wa maji mwilini. Anza na tabia ndogo ndogo… na jali afya yako kila siku ❤️ #lydianaafya #kenyantiktok🇰🇪 #viraltiktok #usa #flypシ