@fakte_aura: #creatorsearchinsights Part1/ Kabla ya miji mikubwa ya leo… kulikuwa na Kilwa. 🕌 Kitovu cha biashara ya dhahabu Afrika Mashariki. Lakini leo imebaki historia… na maswali yasiyo na majibu. 👁️ Nini kilitokea? Dondosha 🕌 kwa Part 2. #FakteAura #DidYouKnow #AfricanHistory #HiddenTruths