@zounikhalifa:

ZOU NI KALIFA👑😅
ZOU NI KALIFA👑😅
Open In TikTok:
Region: ML
Wednesday 18 March 2026 20:43:34 GMT
178960
40505
1104
361

Music

Download

Comments

sedou.sinayoko
Sedou Sinayoko🇲🇱🇲🇱💪🇲🇷 :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-03-19 09:49:17
9
sano.madou
gali 501 :
100
2026-03-29 00:00:13
2
mariamba409
Mariamba :
@1111🥰🥰🥰
2026-05-15 21:31:33
0
ballodjakaridja55
Ballo Djakaridja :
LEGRANDBALLO 🥰🥰🥰
2026-03-23 13:06:43
2
user9186768652951
lbrahimaDrame :
🥰
2026-03-22 11:04:47
2
manmakonta5
manmakonta :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-18 12:25:15
0
kadesylla26
Allah ka Mariame 🇬🇳❤️🇲🇱🙏 :
vraiment découragement zéro grand sœur ❤️❤️🙏🙏🙏🙏
2026-03-31 20:30:02
1
salimata.diarra3026
Salimata Diarra :
2026-05-12 12:34:43
0
11miss21
la star :
@❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-12 22:49:03
0
fatimkonate57288
@Fatimkonate5728 :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-03-18 22:50:22
4
aladji.tlcom3
Milliardaire.silencieux🍀🛴💨 :
2026-03-26 08:49:09
3
gaoussou.coulibal488
Gaoussou Coulibaly :
💘💘
2026-03-19 04:52:41
2
kon.safi32
Koné Safi :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-03-18 22:09:09
2
user636219077825
user636219077825 :
2026-05-05 12:46:42
0
user27991337184051
baba :
2026-03-19 17:07:07
2
aboulaye.soro3
aboulayesoro75 :
2026-03-30 15:15:58
0
oumartraore4723
GP♥️♥️🇬🇳 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-14 15:47:50
0
b.traor67
Mama sira Jolie ❤️🌹🔐🤘 :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-04-15 19:50:43
0
mmediallo1542
Mme Diallo :
salut🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-04 00:32:25
0
mariam.coulibaly3530
Coulibaly :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-18 14:11:45
1
tikirekambire
💞adja❤️siraba🍀🥰💞 :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-04-17 12:45:45
1
jrlejeuneaissatajolie2
JR LEJEUNE AISSATA JOLIE :
🥰
2026-03-23 01:28:11
2
ramatou4240
ramatou :
💖💖💖
2026-03-23 09:39:27
2
To see more videos from user @zounikhalifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

BIASHARA HIZI UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI. Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi za kipato cha kawaida. Hata hivyo kutokana na wingi wao, hili ni eneo ambalo unaweza kuweka biashara ukauza sana. Napendekeza fanya hizi biashara uswahilini. 1.Fungua duka la simu na vifaa vyake I.Uza viswaswadu na smartphone za Itel, infinix na TECNO, charger, USB, flash nk. 2. Kuwa na turubali na viti vya kukodi, kuwa na muziki ujue nyimbo mpya mpya hasa za michambo (walisema aolewi mbona kaolewa) tegea anaolewa nani. Uswazi harusi shuhuli bhana. 3. Fanya biashara ya saloon. Wanafunzi na wanahitaji usafi ni wengi utapata pesa. 4. Fungua kijiwe cha kuuza kahawa na uji jioni, weka benchi wazee na watu wazima waje kunywa jioni huku wakibishana mambo ya simba na Yanga. 5. Fungua banda La video. Hili unalenga watoto. Weka eneo lenye muingiliano wa watu au Karibu na makazi, watatoa pesa kuangalia Tv. 6.Uza CD na sesion za kikorea. Wengi hasa akina mama wanashinda nyumbani, hao ni wateja wako wakubwa. 7.. Fungua banda la chipsi. Utauza mno ndo sehemu yake huku. 8. Uza Supu ya utumbo, vichwa na miguu ya Kuku, supu ya pweza, kacholi, miogo ya kukaanga na udambuudambu mwingine. Hivyo ndo vyakula vya Uswazi. 9. Jenga gest ya vyumba bei rahisi. (imeisha hiyo) 10.Fanya biashara ya urembo na vipodozi vya wadada. 11: Fungua Uza vinywaji. 12. Fungua duka la rejareja la mahitaji ya nyumbani. Duka la mangi Uza Mahitaji ambayo Kila siku watumie.. 13. Fuga mifugo kama kuku, ng'ombe na Uza maziwa, mayai 14. Uza mkaa wa kupima. 15. Kuwa dalali, uza vitu used vya bei rahisi. 16. Fungua duka la madawa muhimu ya binadamu. 17. Uza Madera na vijora. vikundi vya ngoma uwe unawachukulia sare. 18. Uza nguo za mtumba na nguo za ndani. Hii ina nafasi kubwa uswahilini lakini mara nyingi watu huisahau au kuidharau kumbe zinaingiza pesa sana. 19. Uza vifaa vya shule kwa rejareja Kalamu, daftari, penseli, rula, pochi za watoto. Watoto wapo wengi uswahilini mzazi hanunui stationary kwa jumla, ananunua kipande kipande. 20. Tengeneza na uza juice za matunda mitaani. Ufungue ndoo au friji dogo tu la barafu, weka miwa, embe, nanasi, parachichi watu hupenda vitu vya baridi wakitoka mtaani. 21. Uza mayai ya kuchemsha, maandazi, sambusa na viazi jioni Kwenye vichochoro kuna njaa ya jioni, vitafunwa vinaenda haraka sana. 22. Fungua kibanda cha kuuza vocha na kuweka miamala ya simu Mpesa, TigoPesa, Airtel Money watu wengi wanahitaji huduma hizi karibu yao. Hata vocha ya buku inaleta mtu. 23. Tengeneza na uza sabuni za kipande na sabuni ya maji Zinaingiza sana unaweza kuuza lita moja Tsh 2,000 kwa watu wa mtaani. Mahitaji ni ya kila siku. 24. Uza bidhaa za watoto wachanga Kama nepi, mafuta, nguo, socks, sabuni laini. Wazazi wengi wa kipato cha chini huangalia bei rafiki na karibu. 25. Tengeneza na uza mikoba ya shule au viatu vya mitumba Chagua viatu vizuri vya mtumba, visafishe, uza. Mikoba unaweza nunua kwa jumla Kariakoo. 26. Tengeneza viungo vya chakula na paketi ndogo ndogo Tumia mchanganyiko wa bizari, pilau masala, curry powder, kisha uweke kwenye paketi za Tsh 500/1000. Shona zipu, punguza suruali, punguza gauni – kazi hizi ni nyingi sana uswahilini. Uswahilini hakuna biashara ndogo kuna biashara yenye watu wengi Ukifanya kwa akili, nidhamu, na ubunifu, kipato ni cha uhakika Tunapozungumzia uswahilini unazijua jamii zetu, kumjua mteja ni hatua ya Kwanza kufanikiwa kwenye hiyo biashara. Uswahilini watu ni wengi, kama uko uswahilini hiyo ni fursa kubwa mno. KUMBUKA: Usifanye biashara ya kukopesha uswahilini. Utazungushwa sana. Ipi ni fursa kubwa kijijini ila hapa haipo? Niandikie kwenye comment ili tujifunze pamoja. Share ujumbe huu kwa watu wengine ili kupata fursa za vijijini. Kama unatamani kuanza biashara na haujui uanzie wapi na una mtaji mdogo wa kuanzia sh. 165000 sasaivi Tuma ujumbe wa neno BIASHARA kwenda whatsap namba +255782880357 Nikupe muongo

About