@dr.kalobo: Replying to @user9526568262614 Mchanganyiko wa limao + tangawizi + asali una faida nyingi kwa mtu mwenye shida za koo, hasa kama kuna muwasho, maumivu au sauti kukauka. 1. Kupunguza maumivu ya koo Asali hufunika koo (coating effect) na kupunguza muwasho Husaidia kufanya koo iwe laini na kupunguza kuwaka 2. Kupambana na bakteria Tangawizi na limao vina uwezo wa kuua au kudhibiti bakteria Hii husaidia kupunguza maambukizi kwenye koo 3. Kupunguza uvimbe Tangawizi ina anti-inflammatory (hupunguza uvimbe) Inasaidia koo lisivimbe na kupunguza maumivu 4. Kuondoa kamasi (phlegm) Tangawizi husaidia kuyeyusha makohozi Limao husaidia kusafisha koo 5. Kuimarisha kinga ya mwili Limao lina Vitamin C nyingi Husaidia mwili kupambana na magonjwa ya koo mara kwa mara 6. Kusaidia sauti kurudi kawaida Hasa kwa watu wanaopoteza sauti au sauti kuwa nzito Asali + tangawizi husaidia kulainisha sauti#omani #sauthiafrica #afyatips #saudiarabia #for

kalobo health care
kalobo health care
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 March 2026 08:19:29 GMT
769
8
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.kalobo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About