@fifisugar:

Fiona Nkya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 March 2026 11:43:00 GMT
186793
15205
241
987

Music

Download

Comments

jaquelinejonathan9
jaquelinejonathan9 :
Dada samahani mimi ni pisces mwanaume wangu ni capricon anaweza kukaa miezi miwili kimya,nikimuomba Mungu nimsahau haipiti cku mbili ananitafuta...hii ni nini?samahan
2026-03-19 11:59:13
74
zay1505
zaynab💫 :
ndomaana sipendi kulala ovyo n wanaume nalinda energy yangu na najuta kushare energy coz kuna kitu kinaniumizaa sanaaa
2026-03-19 21:10:13
68
damzuri5
da mzuri :
Capricorn ♑ huaga tunaendeshwa na pesa tu sio mapenzi😂
2026-03-24 07:27:46
24
revival_psalm35
Revival💉 :
Hilo swala namalizana nalo saa nane uck leo,asante ccy🥰🥰
2026-03-19 13:52:58
71
milfat95
Magreth :
Ashindwe jamani 🥺🥺🥺🥺🥺
2026-03-19 12:41:32
77
faith.mamy8
Faith mamy :
Life is spiritual mwanetu ,, vifungo vya nafsi ni hatari.
2026-03-19 17:42:39
27
pretty_nissi1
Pretty_Nissi 🌸🤍 :
Soul ties inawatesa watu 🙌🏽
2026-03-20 06:42:16
25
dadadignity_tz
dadadignity✨✨ :
Mimi ninachosema kila siku ni kwamba!Fifi utunzwe na YESU daima!Asante kwa hili!
2026-03-19 18:44:18
30
haula005
Kim_nana :
Dada fifi hilo ni kweliiiiii i have been there na nikaamua kukaa kmya and kurudisha my energy back🤌🏾 no dramas no chaos i let him have his life and have mine💫
2026-03-20 08:43:27
14
cic6809
_Cici ✨🫧 :
Nifundishen namna ya kuheal🥺🥺
2026-03-19 20:43:48
16
afsakimweri
Afsa Kimweri :
hii ni kweli kabisa na ukiludisha energy yako anafilisika kabisa anakubembeleza mluduane
2026-03-19 19:21:15
14
jenipha.mtui6
Nipher~jeyna🫧 :
jamn bc naomb ntu mmoja mweny akil timamu anishaur🥺 natesek bint yenu jamn
2026-06-05 16:46:10
1
fay.muhanji
fay muhanji :
Me Nashukuru mungu nikiondoka sirudi nyuma yeye ndo ata angaika
2026-05-30 20:32:12
1
user5646821070557
Rozy :
hii imenigusa sana
2026-03-22 13:10:36
5
aishatheboss1
Aisha :
kweli Me nishatoa sadaka maana alikua ananitesa sana kwenye mahusiano alini nyanyasa sana huyo kaka myaka 3 niko kwenye mateso ila naws Alhamndulillah 🤲🙏
2026-03-20 20:15:03
7
mwanyumbas.icon
Mwanyumba's Icon :
very true.. personal experience i had
2026-03-19 17:19:47
5
doreen56020
Doreen :
🥰Daa bora umeniambia
2026-03-19 13:44:56
5
rahma.ali897
Rahma Ali :
Ni kweli kabisa
2026-05-14 21:20:55
1
njuu491
❤️AHAN NCHII💫 :
hi naushuhuda nayooo ,nyie energy is real
2026-03-19 16:39:02
6
lydianissi
ANL🌟😎❤️🥇🫠 :
Asante dada🥰😌nakupenda sana bby
2026-05-17 16:58:28
1
dorcasisayamunisi
Dorcasisayamunisi Munisi :
da fii Mungu akutunze akupe na nyumba nyingine ndefu zaidi ya iyo
2026-04-27 18:52:47
1
user9600109690082
user9600109690082 :
Yani namwaza sana kila siku sijui natokaje😂😂
2026-05-15 07:59:40
1
teddyjohnson426
Teddy oswady :
mi sijui ata nyota yng
2026-03-30 21:41:46
4
bynurath
By Nurath🦋 :
Hii ni kweli
2026-03-22 11:45:13
3
d.ra90261
Tresha :
kwel dad fiona
2026-03-22 22:27:24
3
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About