@swiiftiphonecenter: Kama WhatsApp haitumi verification code (OTP), kuna njia ya kuitatua. Kwenye video nimeonyesha: • Jinsi ya kuongeza email • Kuwasha two-step verification • Kutatua tatizo la code kutoingia Angalia video ujue suluhisho 🔐 Save hii post utahitaji baadaye.
Brighton Gunda
Region: ZA
Thursday 19 March 2026 19:45:36 GMT
Music
Download
Comments
Purity Nekesa :
Yangu inashinda hivi
2026-08-21 16:57:40
0
🌺kiria_n🌺 :
yangu leo siku ya pili sijatumiwa code 😭😭😭😭
2026-06-06 04:35:25
5
lilly jane🦋🌹 :
Naomben msaaada maaan txap yng nd kila kitu
2026-08-08 07:06:11
0
saidimkakile :
doesn't working on me
2026-04-21 12:01:36
0
ly.janey :
Mm yang inananiambia mamba ya sim sio sahihi
2026-08-15 21:30:03
1
dida🥰💋 :
Nisaidie kufungua wasp yng namba simu nmepoteza sipati sms za code
2026-08-06 11:46:27
1
0965954190 :
jambo yaku inakayala kuleda code
2026-08-03 18:32:19
0
Miss alfa :
Simu yangu aina data roaming
2026-08-24 06:20:49
0
Mrs Mudathiry 🥹❤️ :
Yangu imegoma wiki sas mbka Leo 😩
2026-10-01 10:43:38
1
saknahkinyere_1996 :
mm nimechoka kuhandaika acha niendele kutumia imo mm Toka mwezi wa 5 mpk ss 🤦 inagoma
2026-09-02 04:58:07
0
Alexander Theodas :
mm huwa inajitoa tu mda wte
2026-08-14 09:12:28
0
fatty :
Jamani yakwangu ina review kila siku
2026-06-16 05:33:18
0
Juday🇦🇪🇦🇪 :
one month bila Whatsapp sasa haileti code
2026-09-18 02:05:57
0
Lumumba :
@⁰
2026-08-23 12:17:08
0
@zaxha01 :
mm nahis nishatrakiwa maana nlkua natumiwa sana code jana na leo naambiwa swez kulog in
2026-09-24 07:49:01
0
paschal nyasilu :
Twedezetu
2026-03-26 21:00:32
0
Madam Boss :
thanks
2026-04-18 06:15:43
0
Tiffany saja❤️ :
Hii
2026-04-01 07:27:47
0
Happyney🦋🫰🤩 :
Weny iphone naingia wap mkuu
2026-10-16 05:01:33
0
Le roi de l’amour ❤️ :
Thanks bro
2026-03-29 07:59:41
0
Jennifer 0356 :
haki nimejikuta naichukia san WhatsApp 😔😔😔
2026-05-30 21:18:22
1
Tiffany saja❤️ :
Boss Nina Tatizi Hilo
2026-04-01 07:27:52
1
THE TANK👑 :
Cm yang inazingua kwl kweny ilo kk
2026-05-04 18:01:28
0
Saumu Saumu :
mm insidie kila nikiitisha code inakataa
2026-06-19 22:54:09
0
Saumu Saumu :
mm inkiitisha code inakataa
2026-06-19 22:54:53
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.