@lumoracleaning: Eid na Pasaka zinakaribia… tafadhali usikubali wageni wakukute na sofa chafu au kapeti lenye doa 😅✨ Tunaifanya nyumba yako ing’ae kama mpya! 🛋️🧼 Tazama jinsi tunavyofua sofa kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa 💯 ✔️ Usafi wa kina ✔️ Harufu safi ya kuvutia ✔️ Huduma ya uhakika Na kitu kizuri zaidi… BEI ZETU NI POW! 🔥 Fanya booking mapema, tusafishe kabla ya sikukuu 🤝 📩 DM sasa au piga simu #SofaCleaning #CarpetCleaning #EidReady #PasakaReady #CleanHome