@mirrsviva: #nokulia #nokutiahuruma #nokutoka

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 March 2026 13:05:33 GMT
234916
14480
411
969

Music

Download

Comments

lucy.msaky
Lucy :
mtu asije akaolewa na mwanaume mwenye watoto jaman utajuta😢
2026-03-21 09:13:38
167
user7718197828413
Anaya arume :
ila dada unajua kuvaa bhana 🥰🥰
2026-03-21 10:34:22
79
happy.g35
happy G :
Viva punguza kuvaa jamani mimi kuna muda nazubaa kuangalia nguo zako tu nzuri na zinakupendeza🥰🥰 unafanya nisisikie unachosema
2026-03-20 13:25:37
106
kimcade3035939547663
Kim caren👽 :
aisee unanifundisha sana nakomaa kwenye mahusiano
2026-03-20 13:21:17
84
baba_yenu_mzazi
Baba Yenu Mzazi :
hujasoma dini ndo maana unasema MUNGU hapangi ndoa ivunjike
2026-03-22 09:00:22
8
iamgracederick
Favouredgrace♡ :
Ila wanandoa😁
2026-03-21 08:28:58
5
dada.neema
Dada Neema :
part2 please niendelee kufikiria mambo mengine😂😂😂
2026-03-20 15:00:54
31
kimstoretz
kimstoretz- :
wakwanza leo
2026-03-20 13:13:41
19
genemoriah_designs
GENEMORIAH_DESIGNS :
Ivi da viva unajua hii ni huduma ya ki Mungu kabisa 🥰…ongea usichoke utalipwa na Mungu mwenyewe ubarikiwe mno🥰
2026-03-20 14:21:24
36
fungo.girl4
fungo girl :
Leo nskudkilaza nikiwa na baba mjengo hapa🥰
2026-03-20 14:27:27
12
www.tiktok.fionastore
@FIONA STORE 🎀 :
Nishavuta kiti mapema leo🙏
2026-03-20 13:16:30
14
lady3639
Madam :
Viva mdogo wangu unanifunda nanafundika Mungu akutunze
2026-03-20 13:23:40
15
g07671389
Mama Na :
Una damu ya nguo 🥰🥰🥰 Unajua kupendeza
2026-03-21 16:26:04
11
destinedheart0
Destined Heart :
ila kuna wanawake wanaakili jaman
2026-03-21 06:53:38
9
kinghafithow
kinghafithow :
part 2 mwenzangu
2026-03-21 10:16:27
5
witness.pambano7
Witness Pambano :
mwendelezo
2026-03-20 18:52:36
5
toy42198
Toy :
Nakupenda bure we dd
2026-03-21 08:56:21
5
violeth2942
violeth :
mdogo wangu umependeza sana
2026-03-20 17:24:20
8
luluadriel022
luluadriel022 :
Tunaomba muendelezo mc
2026-03-21 14:40:42
5
arielaethan40
Ariella ✨ :
part two kipenz nichukue notice 🥰
2026-03-20 19:35:24
5
mariamally995
Mariam Ally :
Naomba nikufollow🥰🥰
2026-03-20 19:26:46
6
therezagody
therezagody :
Navyongoja muendelezo sasa😃
2026-03-20 18:06:32
10
alessia492
siyer :
HAKIKISHA UNATOA SHOOO YA MAAANA 🙌🙌🙌🙌🤣 part 2 dada 🙌🙌🤣🤣
2026-03-20 14:17:50
9
mjengomama
ma mjengo😍 :
Tokea nimekufatilia ndio kwanza nimepanga kuongeza watt sasa ila nilipotoka nilikata tamaa sanaaa
2026-03-20 19:09:21
11
rdmushkahh
professa wa kitaa :
ilove the way you narrate this story.....you are a fantastic story teller!ilove you🥰🥰🥰....umetisha
2026-03-21 05:31:04
10
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About