weee nilikua tumenunuana na muhalifu jaman nimeongeza saut ya video yako akacheka😂na m nikacheka😎
2026-03-20 18:32:13
468
Tina :
ulikuwa unaweza nn adi umesema ivyo jamani
2026-03-20 19:29:39
169
Winnie 💙 :
😁😁sema Ndoa zina vijimambo sana 💔
2026-03-20 20:27:46
284
vanessavanessa947 :
Nimecheka Kwa sauti jamanii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-20 19:07:41
44
SHUJAA WA BWANA :
ndoa siyo vita bali ndoa ni mpango wa Mungu kwahy ukimtanguliza Mungu amani itakuwepo kikubwa ukishajua mapungufu ya mwenzio na namna ya kuishi nae hamtagombana kwa kweli mtakuwa na furaha siku zote🙏
2026-03-21 14:38:59
37
🦋iron butterfly2005🌸 :
Nani mwingine anadaiwa songesha like apa😁
2026-04-28 18:51:17
34
lolo mukenye :
ata sielewi mpaka umenifanya nicheke.
2026-03-21 09:54:25
17
Asnana store 🛍️ :
10/10 nalipa
2026-03-21 13:58:25
5
🍒 :
still bado n nn
2026-03-20 21:01:37
21
kaniyunkyung🧚🏼♀️ :
Nimecheka dah
2026-03-20 15:59:45
9
Grace Esther❤️ :
5/5
2026-04-29 12:29:53
0
🦋Mii,,🍭Faveee🌷 :
2026-03-20 17:39:52
5
selina💞 :
🤣😂 unacontent nazikubali sanaa
2026-03-20 19:36:03
13
boss lady 🥰 :
10/10 nalipa kwa uaminifu
2026-04-12 21:00:19
1
Dida collection ❤️❤️❤️ :
Ila ww😂😂😂😂
2026-03-20 16:30:46
7
SweetDee🍇 :
Ndo nyakati nliopo kwa sasa😩
2026-03-21 04:50:04
10
phine299 :
jambo na vijambo😂😂😂😂
2026-05-30 13:17:05
1
tinnah 🦜 :
nilizani ni mimi tu ndo ninae nunianagana mwenzangu kumbe tupo wengi😂😂😂😂
2026-03-21 18:03:03
16
Bela chichi :
nimecheka🤣🤣🤣🤣
2026-03-20 20:35:33
4
Official A🥰❤️ :
Nataman ningecheke kwa voice 🤣🤣🤣🤣😭
2026-05-23 08:04:35
1
matty :
2026-04-08 13:23:01
1
mpeni malolage :
😂😂😂😂😂iyooo
2026-03-21 09:46:02
1
jenipher alonso :
nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣
2026-03-21 22:25:37
3
Tina Kahati :
Ila ww 😅😅
2026-03-20 18:35:33
2
Ikerlove🌸 :
😂😂😂😂mi napenda
2026-03-20 20:47:42
2
To see more videos from user @heislascouh, please go to the Tikwm
homepage.