@islamicswahilinet: mama ana nafasi ya juu sana na anastahili kuheshimiwa, kuthaminiwa na kutendewa wema wakati wote. Mtume Muhammad alisisitiza umuhimu wa mama kwa kusema kuwa yeye ndiye mwenye haki zaidi ya kutendewa wema mara tatu kabla ya baba. Hivyo, kumkumbuka na kumthamini mama ni sehemu ya ibada na njia ya kupata radhi za Allah, kwani wema kwa wazazi huleta baraka na mafanikio duniani na Akhera As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Imani, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kutufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo kuta, msingi, na boma vimekamilika na kupaliwa. Hata hivyo, safari bado inaendelea ili nyumba hii ya Allah ianze kutumika kikamilifu. Tunatoa wito wa sadaka na michango yenu ili kukamilisha ujenzi wa karo la maji taka, vyoo, na sehemu ya kutawadhia, pamoja na hatua za mwisho za ujenzi (finishing) ikiwemo milango, madirisha, na mazulia. Allah anasema katika Qur'an Tukufu: "Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Allah ni kama mfano wa punje moja iliyochipua mashuke saba, na katika kila shuke zimo punje mia" (Surah Al-Baqarah 2:261). Huu ndio wakati wa kuwekeza katika akhera yako na kujijengea nyumba Peponi kwa kusaidia ukamilishaji wa miundombinu hii muhimu ya ibada. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Saturday 21 March 2026 07:26:32 GMT
Music
Download
Comments
naurat4333 :
Allah awake pema peponi wazazi wangu wote wawili awatilie nuur makabri Yao awaondoshe adhab za kaburi ameen yarab 🤲😭🤲😭
2026-03-21 11:27:53
75
Isher :
Allah wajalie wazazi wetu umri mrefu yaarabi
2026-03-21 17:36:28
61
Ummu Ayanuser76921860579886 :
yarraby nilindie mamaang nimekuj gulf kwa ajil yake😭
2026-03-21 18:07:06
23
da Coxswain :
Ya Allah watilie nuru wazazi wangu kaburini mwao na uwajalie Jannatul Firdaus
2026-03-29 18:18:35
9
Asia Hamic :
nakupenda mama yngu
2026-03-21 18:16:33
7
Mwajuma Mussa :
NAKUPENDA SANA my lovely MOMY
2026-03-21 12:37:30
8
z :
maneno madhubuti watoto wafikirie sana hilo
2026-03-21 11:23:45
10
Official Neiy❤️ :
you love ❤️my mom Allah nilindie uyuu nampenda sana 🙏 😢
2026-03-21 12:12:07
5
zura assane :
nampenda san mamangu❤️
2026-06-04 06:26:10
1
NAILAH🥰🌹👏💅🤲❤️💞 :
Allahuma khufirilakhu wasikana fill jannah@😭😭😭😭
2026-03-21 12:30:44
8
mamaa :
Nampenda san mamangu ♥️
2026-03-30 17:39:36
7
Famoso offciall MZ :
allah atujarie uruma na mama zetu🥰🥰🥰
2026-03-21 12:41:01
6
Mr.Joker :
Allah nilindie mamangu kipenzi changu azidi kufurahia matunda ya mwanae,l love you mum🥰🥰
2026-03-21 15:32:04
6
Faتma :
Allahumma arhami ummy kama rahimat saghirana 🥹🤲
2026-03-21 19:33:28
8
RAMADHANI NYENDE :
sahihi kabsa
2026-03-21 08:21:37
7
Zubaira 8985 :
YA ALLAH wajalie wazazi wetu kote ulimweguni mwisho mwema wenye wako kaburini na wenye wako uhai na uwaondole mitihani YA RABBI
2026-04-20 13:41:21
5
Thureyyah_boutique :
Allah atuongozee watoto wetu yarabby na awatie peponi wazazi wangu
2026-03-21 13:03:00
6
Famoso offciall MZ :
ameen ya allah🥰🥰🥰
2026-03-21 12:40:32
6
mwaija :
yaarabb wajalie wazaz wang maisha marefuu🤲🏼🤲🏼🤲🏼
2026-06-07 18:20:39
1
user9316936951011 :
Allah amlinde mam yangu kipenz
2026-06-13 11:16:35
1
brayton tz :
ally hamdu lilay
2026-05-25 17:04:16
2
Mwalo Solo :
yaraab nilindie mamaanguu
2026-05-19 07:38:03
2
masota :
hakika
2026-04-20 17:19:14
2
Zaharahamisimdachi :
Allah naomba unisameh
2026-05-17 15:51:19
1
deepest wounds often invisible :
Mashallah beautiful reminder.🙏🙏
2026-05-11 16:42:32
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.