@naahdss: 0688482852

Naah DSS🔥
Naah DSS🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 March 2026 09:55:51 GMT
7969
733
41
12

Music

Download

Comments

ima.urio
Ima Urio :
vikram akuna kazi apo
2026-03-22 13:19:36
3
kejo_tz
bwana kaka :
dada mimi naomba kazi vikramu
2026-05-03 17:08:35
0
hatibumwinyiheri3
kijana mdogo :
kigezo ni pesa tu sema ukweli
2026-04-22 20:02:05
0
paul.magembe.hass
Paul magembe hassan :
naenda ww
2026-04-08 12:15:40
2
kibegtozz32
Lamar_🚚 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-05-29 20:24:17
0
user4269236729708
Travella :
mmh
2026-05-24 20:37:08
0
blastusamon0
blastusamon :
vicram 😁😁😁
2026-03-22 10:32:39
2
shay.de.prince
Shay De Prince :
umesahau Bhanji
2026-05-28 18:05:11
0
shida7771
Shida :
mambo vp dada
2026-05-08 18:33:57
0
hunter.jr46
Hunter Jr :
Naomba kazi
2026-04-22 07:29:46
0
shebi.kuu
Shebi kuu :
sina mdhamini vyote nnavyo
2026-03-21 15:36:55
0
hassanmkello
Papaa Mkello :
zote ulizotaja hamna kazi hapo
2026-04-26 07:08:50
1
paulinho.de.angel
Paulinho de Angelo :
nilikuona mikumi dada wa simba🔥
2026-05-01 09:25:46
1
chambutrucker
ℂℍ𝔸𝕄𝔹𝕌 𝕋ℝ𝕌ℂ𝕂𝔼ℝ :
dada me Nina chet Cha ndoa bhana NISAIDIE nipate kazi
2026-03-31 05:00:30
2
official_mnyamwez255_tz
MICHEZO UMEME🚦🚛 :
Shemeji shikamooo🤔🤔🫣
2026-03-25 09:53:11
0
toredo43
toredo43 :
we una madereva wako 😂
2026-03-22 11:00:30
0
jackson7112279413381
@Msweden Tz🛣️🚦 :
Kwa vigezo vyangu jins nilivyoangaika bdo cjaona Campuny apo wacha nitulie tu sina haraka na kazi
2026-03-21 16:24:19
1
mansor9153
mansor9153 :
mm nataka bango singapi
2026-05-16 12:02:58
0
ombenimohamed
P H D TRUCK DRIVER :
Wote awana shuuli ao sawa
2026-04-22 08:56:01
0
jackson7112279413381
@Msweden Tz🛣️🚦 :
Cjaona Campuny apo ata moja
2026-03-21 16:23:22
0
emanuel.patrick79
Emanuel Patrick :
sio tatizo kazi tatizo ni maokoto madamu usipige promo sana kwa sasa tupo wachache
2026-04-25 20:08:33
0
d.leonard113
Lukumbuja :
posho uhakika dada
2026-04-28 19:33:12
0
ndeledrive
ndeleiddymsongole :
kazi hiyo ya kwenda kupika Kongo ndo munipe kazi na mzamini acheni utani hawana ndugu waendeshe ndugu zake
2026-04-29 11:44:18
0
jeffryder744
Jeff Ryder744 :
Me nataka ila iwe Local
2026-04-30 08:03:25
0
pekua.peku31
official Pekua tz🇹🇿🔐 :
🥰🥰🥰
2026-03-28 19:15:44
1
To see more videos from user @naahdss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About