daaah namkumbuka kakaangu MUNGU amlaze mahali pema peponi alinipenda sana na nilimpenda sana na tulizaliwa tarehe mja mwezi mmoja kasoro mwaka😭😭😭😭
2026-03-24 10:43:48
5
MC KIPAJI :
sanaaaaaa adilahaaaaa
2026-03-28 06:04:58
0
Mwanaisha Mohammed :
kwel kabisa
2026-03-29 17:17:22
0
Mirha 😍 :
dah nataman sana ningekuw na kaka au Dada🥲
2026-04-26 20:53:17
0
Mwana♎️ :
pumzika kwa amani kaka angu
2026-04-03 08:50:04
0
shaibevents :
unakuta ndugu kabisa hamzungumzi kisa mMoja hataki kujishusha or mali ambazo mkifa mnaziacha 😓😓😓, Allahuma Ameen Allah tujalie waja wako 🙏🙏
2026-03-24 20:16:11
5
Shadida Nankoko♥️💥 :
nimewapenda bure
2026-03-25 08:51:28
0
mys@r@h95 :
naomba jina la taarabu
2026-03-27 15:15:31
0
fettykadashian :
😥😥nimtoe wapi yarab 😭
2026-03-26 08:22:13
0
aisha :
hongereni mzid kupendana
2026-04-04 12:04:46
1
Shani Maryamungu :
mim ata sijui wapo wap miaka kumi sasa 😭😭😭 na wapo hai wote 3
2026-04-12 08:06:47
0
Shiffah mkemae :
aaah side na tatu hao hongeren vipenz dada yenu nawapenda
2026-04-04 18:52:03
1
Mariam s Lumaliza :
mnapendana ❤️
2026-03-25 12:25:22
0
Mayja wa moro🦒🇹🇿 :
napenda
2026-03-24 11:19:08
0
Muni halla :
cjui kwanini nalia dah
2026-03-23 17:47:49
0
💯 ️ :
Mungu ailaze roho ya kaka zangu mahali pema peponi😭😭😭
2026-03-28 09:46:34
0
AZZA MOHAMED :
mie naweza san ten nimewamiss san ndug zangu wakiume
2026-03-22 13:18:55
0
emmylnightdress :
Nimeliaaaaaa sanaa ipoo sikuu Nitasimamia nione kaka zang wote wakioaa nisimame km dada yaoo niombee hii nyimbo ipoo ck inshallah ipo sikuu Allah yupo pamoj n maombi yanguu
2026-03-24 11:03:49
4
To see more videos from user @zinja_og, please go to the Tikwm
homepage.