watu wanapenda miujiza kuliko neno yooo Mungu turehem
2026-03-22 05:02:16
121
Halima James :
mi nakushukuru sana nimeomba mume wangu aniache namshukuru mungu akaniacha asante
2026-03-21 16:34:56
39
Ishaal001 🇸🇴 :
mwisho mtasema tujipake mavi juu mimi naamini mungu tu
2026-03-23 20:26:42
40
Lopez☺️🥰 :
l did the same, and right now we're back together 🙏🙏🙏hii nayo ni magic
2026-03-21 17:51:39
11
user7049131961161 :
how do I use chumvi na mate nielezeni tafadhali
2026-03-22 18:25:50
38
jacinta :
mate na chumvi ni mambo yote
2026-03-21 13:15:27
29
Blessing :
Mimi nataka uniconnect na Fredrick Leonard,I'll thank you later.
2026-03-22 00:15:52
9
faith mutheu :
na mkue keen sana kuna tofauti ya mganga na mchawi nilitembea sana adi nikapata mganga wa ukambani akanisaidia sana
2026-05-04 16:27:41
7
netta :
Please help me!!!!!!....I love this man soo much and i miss him but im the one nilimkosea but i apologised.Ameninyamazia tuh na sina peace of mind...
2026-03-22 17:42:22
12
Mikestory.tela :
mate na chumvi tunafanyajee
2026-03-23 11:08:47
15
heartyou :
kun mama daktari makindu anakurejeshea mpenzi na 3dyz
2026-04-22 09:46:12
6
Happy store🫶 :
Pastor pastor Asante nimepata Mchumba baada ya kuchanganya mate ya asubuhi na chumvi Mungu akubariki 🙏🙏
2026-03-28 06:12:15
9
CAPTAIN BOBBY 🧑✈️ :
Mwosho Moja
2026-04-21 17:38:06
9
SCENTY ♥️ :
Mimi nmeteseka Sasa miezi miwili na ujauzito pekee yangu 😭😭😭😭😭,anaishi huko nje na hashughuliki na mimi,ata kulipa bills alikataa.Mtu nmekaa na a yy kwa miaka 10,nahisi kua kichaa m😭😭😭😭
2026-04-09 07:06:35
6
mp3 :
kwani nini inaendelea? ndio mara ya kwanza kumwona na nimekuwa interested
2026-03-22 07:58:15
21
Jackie:mbeu ya Ngai :
siez sifu masukari na mavioo,Mungu nakujua we pekee
2026-03-23 06:39:41
16
Gladys😌 :
Paster nisadid kurudisha nyota nipata bwana
2026-03-21 14:35:22
11
DAVID MUBALAMA :
uyu pasta niwakweli,nilinawa maji namajivu mwiliyangu ikakuwa tena mzuri sana.
2026-03-22 07:39:24
8
karish marggie :
mimi sitaki kuogea ntaogea Monday after what has started 🙏
2026-03-21 17:23:44
7
Blue bee :
Hata Mimi prophet help me nipate kutoa hushuhuda nimetezeka miaka mingi.🙏
2026-03-21 13:54:16
7
Malia :
Jeremiah 14:14
2026-03-22 07:13:32
6
Maureen Khakayi :
Please Mimi nataka tu kujua jinsi ya kurudisha nyota yangu ya m kwa mkono juu inasaidia tu bwana yngu
2026-03-21 13:26:29
6
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.