@rahma_daudofficial: #onthisday MNAKUMBUKA WALIUMBUKAGA 😂😂😂 nyie mnajisahau sana mi nawekaga akiba 😂😂😂 #rahmafacebeat #foryou #bittertruthofoursociety #spirituality

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 March 2026 14:12:00 GMT
32954
2029
96
99

Music

Download

Comments

official7119
Official love ❤️♌️🧿 :
Eeeh Mungu Naomba unipunguzie Moyo wa kupenda sana ili nisiumie nikikosewa 🙏🏽
2026-03-21 14:22:53
27
thegodlengirl_118
The Golden Girl :
Ee Mwenyezi Mungu niondolee Roho ya kucheleweshwa kiuchumi na kimaendeleo na kaangamize na kuwateketeza maadui zangu zote ninao wafahamu na nisiowafahamu 🤲🤲🤲
2026-03-21 15:18:04
10
swalehe549
Aisha swalehe :
mwenyezi mungu kanijaliye ridhiki ya khali na kaniepushe na maadui wote kwenye Kona zote za ulimwengu wa kidunia
2026-03-21 16:55:54
7
wolly.treasure
wolly treasure :
Mungu naombaa nipate ajiraaa❤️🥰🥰munguuu naomba nipate ajiraa
2026-03-23 13:42:49
2
marthaphilip
Martha Philip :
Web mwenyezi Mungu naomba nipate ndoa na baba watoto wangu Amen
2026-05-11 11:54:45
1
magreth.sande
Magreth Sande :
Ee mwenyezi mungu baliki uzao wangu na biashala zangu
2026-03-21 15:01:06
5
mamiville_mamyluv
mamiville :
Allahuma Ameeen ..I seek refuge from evil eyes and hasad 🤲🤲🤲🤲
2026-03-21 20:27:13
2
mwanaham
mwanaham :
Mwenyezi anijalie uzao nipate mapacha nami niitwe mama inshaaAllah
2026-05-10 14:13:40
2
user660207845465
user660207845465 :
Asante kwa kuniganga moyo Wangu🥹 MUNGU azidi kukukilimia.
2026-03-24 10:20:39
2
mamii.nithal.mukht
Mamii Nithal & Mukhtar 🥰💕 :
yarabii kupitia uban huu nilindie ndoa yangu na utulinde na shar zote mie na watoto wangu Amiinaa yarabii 🤲
2026-05-11 17:27:31
1
debora35366
debora :
naomba nisahau jambo nimeunizwa
2026-03-21 19:50:40
2
mwanarusibakari32
mwanarusibakari :
Allah nakushtakia aliye n dhulumu pesa zngu bila huruma pambana nae kwa nguvu zko na unilinde mm na familia yangu na wazazi wngu Amiin
2026-04-05 12:30:33
1
fatumachahe
Fatuma Chahe :
mungu nijalie hitaji la moyo wangu
2026-04-15 06:26:13
1
raynadenasrinh258
Rayna de nasrinho :
amiiin
2026-03-22 08:18:44
1
ukhtyminnaah
Ukhtyminnaah :
Aamiiyn Allaahumma Aamiiyn
2026-03-24 16:29:52
1
chidada_collectio
CHIDADA COLLECTION :
amini yarab
2026-03-23 21:51:55
1
avelin191
avelin191 :
Amen and Amen 🙏
2026-03-24 07:20:55
1
kuluthumtz
kuluthumtz :
ya allah ameen
2026-03-21 21:57:35
1
omarisenga530
me myself and Omari musa :
Amin Asante
2026-03-22 16:49:08
1
debora35366
debora :
Amin🙏
2026-03-21 19:51:50
1
zeze.ake
zeze ake :
amin ❤️
2026-03-21 19:35:58
1
shitashila2
shitashila0 :
Amina
2026-03-21 19:22:18
1
otilia.pius
Otilia pius :
Amiin Amiin
2026-03-21 17:42:01
1
niffajay
Niffa✨🌙 :
Amin ya Rabii 🤲🏽
2026-03-21 17:07:43
1
pauline__2021
Pauline__2021 :
hii dual ikawe na kwangu Ishallah
2026-03-22 22:01:21
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About