@braza_wa_tiktok: ukimuacha group 'O' anacheka😅 #creatorsearchinsights #funny #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fyy #tanzaniantiktok🇹🇿 @TikTok

🇹🇿braza_wa_tiktok🇺🇸
🇹🇿braza_wa_tiktok🇺🇸
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 March 2026 14:27:10 GMT
195375
8502
1706
352

Music

Download

Comments

user44224419501531
loveness :
hisia zenyewe hatunaga mda mwingi tunawaza hela tutapata wapi
2026-03-23 09:20:19
582
migirl842
migirl :
mi nakujibu USHAWAI ONA WAPI AMBULANCE INALIA BAADA YA KuSHUSHA MGONJWA group O oweeeeeeeee🥰🥰
2026-05-13 07:54:53
30
kacheboo
Julius :
tuko kwenye mapenzi motomoto lakin tunajenga fikra ya kuachana Kwa hio ikitokea tumeachana n kama marudio
2026-04-02 18:22:58
212
officiaanitha777
Aim..💍Anitha cute🍫🍼 :
kijna tunaumia vizuri tu sema hatupendi kuonesha kama tunaumia😂
2026-03-23 18:06:09
182
user0745153872
Princess Marry :
mm anadhani yy ndo ananiacha kumbe nilikuwa nishamuacha kitambo ni vile nilikuwa ninangojea tu yy aseme
2026-03-22 07:01:57
102
azuathsaid5
Azuath🩸 :
kwasababu tunapenda ila hatuweki mtu moyoni ndo maana ata tukipendwa au tukiachwa ss ni poa tu 😅😅 hatuna wasiwasi
2026-03-22 06:43:06
176
gouhar60
jojodeeheagle 🦅🥰 :
group O tulikufanyaga nn broo mbon unatuandama hivii 😪🥲
2026-03-21 14:50:28
87
josejohn541
josejohn541 :
yaani me kipindi anasema tuachane kumbe nilisha muacha zamani tu🤣🤣🤣
2026-03-21 18:16:42
62
zuhairasalehe
Miss Saku :
sisi tuko teari kuacha kazi ata kama atujui tukikaa bila kazi tutaazia wapi lakin bos akizingua tunaacha yaani tunajiamini vibaya
2026-03-25 11:30:00
32
arap.bunyer
daggy🎸 :
tunakuanga tumejua mapema hakuna mahali tunaenda na uyu
2026-03-21 20:56:08
43
iva.mwihomeke
@Mwihomeke :
huwa tunawaza hela na usingizi pia unamshukuru mungu kwa afya na bado tukilala mchana hata mtu abishee hodi unasikia lakini una jifanya husikii
2026-04-18 17:15:17
8
basasenie
basasenie :
kwanza huwa nasahau kama nina mpenzi
2026-03-22 13:06:16
21
toto.la.kipare0
Toto La Kipare5 :
TUNAWAZA PESAA SANA MAPENZ N KITENZI KISAIDIZI TUU😀😀😀😀😀😀😀😀
2026-05-25 02:52:08
10
aneti.mnyani
Aneti Mnyani :
nikajua mm tuuu kumbe wote tuko ivyoo
2026-03-22 19:03:39
14
user51347016944418
Lopez's 51347016944418 :
Hatufanani na wamasai ila nilichogundua sisi hatuna mioy ya mapenzi
2026-03-21 16:34:06
8
user1182488849088
user1182488849088 :
na kingine tuna ile hatutaki kushauliwa na tunasomaa watu tukikuona tu ivi tunajua ww ni mtu wa namna gan
2026-03-21 17:40:44
10
dottoh13
🎀dottoh🦋 :
Tunaumia sana tu ndg sema tunadharau . tukishapotezea ndobasi tena.
2026-04-25 03:35:59
11
user19612567240357
Salma kimaro :
hatunaga mambo meng hua tunaridhika na vya kwet hatuna tamaaa..ki ukweli tupo happy
2026-05-07 10:44:44
5
user252720e
Ishiq 🥰😘 :
tunaumia kiukweli coz we have heart too but ..! ni vile huwa tunajuanga hii relationship haifik mbali so huwa tunakaa ready kwa lolote😁
2026-03-26 11:46:05
18
athumanimzee
Athumani Mzee :
sasa wanatusaidia nn waende ru
2026-03-21 16:40:53
12
monicafaustine
monah@30 :
nliachwa leo kesho yake nkawa babe wa mtu 🙌
2026-03-23 08:53:46
8
user71036316086882
user71036316086882 :
sikuzote hakunaga jambo la gafla unakuwa ushajiandaa kisaikolojia muda mrefu
2026-04-15 09:18:43
5
mariam.richard43
mariam richard :
tukiachana leo maumivu ni siku ya kwanza tu, ya pili tusha move on
2026-04-06 06:28:50
6
raya.rich7
Raya Rich :
Kupenda mtu sio vitu vyetu sisi hua tunapendwa ndomana hatunaga hayo maumivu kabla hujawaza kutuacha sisi tushakuchoka muda san 💃
2026-03-25 11:07:45
17
mwanachalle1999
babies cancer 🦀 :
kwa kiburi hiki na kupenda kukaaa pekee yangu 😜🙌
2026-03-22 02:11:38
9
To see more videos from user @braza_wa_tiktok, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About