Tukikuona tunakumbuka mbali sana! yaani kama vile upo na mpendwa wetu, Baba yetu JOHN POMBE MAGUFULI hakika tutakukumbuka daima.
2026-03-31 23:55:17
5
Nasra and Najath :
sijui yupo wap aisee inaniuma sana
2026-03-29 21:03:06
2
🤴King🤴p❤ :
Humu tu
2026-04-03 14:40:22
0
Naipasoi ❤️ :
Mioyoyo inajaribu kufanya replacement love hatujui tumpe nani upendo wa mh magufuli
2026-03-29 16:30:45
2
Timba :
ivi unamfahamu vipi JPM?!
2026-03-30 20:41:23
2
Janeth :
alitulindia vyema kabisa rais wetu
2026-03-30 05:52:15
2
Queen Elizabeth❤🙏🏼🌳 :
moyo unaficha mengi😢
2026-04-06 09:56:39
1
Elezia Owen :
da! nikweli jamani utiifu na uaminifu na kujituma kwa bidii ndo mafanikio ya mtu tumwombee afya njema na maisha mema anafanya kazi kwa uzalendo sana mungu amlinde
2026-04-04 19:11:24
1
official P :
MUNGU amtunze
2026-03-27 09:48:03
2
Twitike Mwakyonde :
Hana mambo mengi namkubali sana uÿu mwamba kuna aķina mama màtumbo yao yauzazi yalibalikiwà mungu ambaliki sana
2026-03-22 18:35:13
8
user3586004148101 :
Sana anajua thamani ya kazi yake anafanya kwa mapenxi ya kweli 🙏
2026-03-29 17:04:22
2
yusuphkachenje :
mungu akupe maisha marefu bro tunatambua unavyojiskia bro pole sana
2026-03-29 12:23:27
3
Fatma king :
anamwngi anayo yakumbuka jmn
2026-03-30 19:44:00
1
E- collection 💄🍦🥤 :
jmn mmmh 🙌
2026-03-28 16:14:22
1
Paulina athanas :
huyu Bado anauchungu sana na baba etu magufuli daaah inahmiza sanaaaaa
2026-03-30 19:02:33
1
florah :
🥺🥺sura yake inaongea mengi aseee .uyu moyoni ana mengi
2026-03-30 18:29:04
1
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.