@anonymous.journal82: 🟥Profesa Jeffrey D. Sachs Ni mchumi mashuhuri nchini Marekani, mwanazuoni, na mshauri wa ngazi za juu wa kimataifa ambaye anajulikana kwa utaalamu wake wa maendeleo endelevu na mapambano dhidi ya umaskini. Cheo chake ni Rais wa Suluhu ya Maendeleo Endelevu wa Umoja wa Mataifa UN, Pia ni Kamishna wa Tume ya Umoja wa Mataifa (UN) ya Broadband kwa ajili ya Maendeleo na mwanachama wa Taasisi ya Kipapa ya Sayansi ya Jamii huko Vatican. Alikadhaalika ni Profesa wa Chuo Kikuu (University Professor)—cheo cha juu zaidi cha kitaaluma HIZI NDO SABABU ZAKE KUU 8 KWANINI TRUMP NA NETANYAHU NI MAJAMBAZI, NA SIO WATU WA KUWAAMINI KABISA MANEO YAO. 🔴Uchochezi wa Marekani na Israel: Iran imekuwa tayari kufanya mazungumzo mara mbili, lakini kila mara Marekani na Israel wamechagua kuua viongozi wa Iran katikati ya mazungumzo hayo. 🔴Double Standard: Je. kwanini Israel inayomiliki silaha za nyuklia (zisizokaguliwa) inaruhusiwa kuishambulia Iran inayokaguliwa na IAEA. (Shirika Linalokagua Nyuklia Duniani?) 🔴Iran inaonekana kama tishio si kwa sababu ya ukweli wa kijeshi, bali kwa sababu ya mkakati wa kisiasa wa viongozi kama Trump na Netanyahu kutaka kuudhibiti ukanda wa Mashariki ya Kati. 🔴Udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz: Iran ina uwezo wa kufunga njia hii muhimu ya mafuta duniani, jambo ambalo Marekani inaliona kama tishio kubwa la kiuchumi. 🔴Hakuna Idhini ya UN: Iran ni nchi huru na mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halikutoa azimio la kuruhusu matumizi ya nguvu dhidi ya Iran. uvamizi huo ni ukiukaji mkubwa wa Ibara ya 2(4) ya Katiba ya Umoja wa Mataifa inayopiga marufuku matumizi ya nguvu dhidi ya nchi nyingine huru. Mashambulizi dhidi ya Iran ni "uvamizi haramu." 🔴Hakuna "Tishio la Papo hapo": hakukuwa na tishio la kijeshi la moja kwa moja kutoka kwa Iran ambalo lilihitaji shambulio la ghafla (preemptive strike), hivyo kuufanya uvamizi huo kuwa "vita haramu vya uvamizi". 🔴Ukiukaji wa Katiba ya Marekani: Rais Trump amekiuka Katiba ya Marekani kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge (Congress). 🔴Haki ya Kujihami: Iran inadai kuwa kujiimarisha kwake kijeshi na kutengeneza droni ni kwa ajili ya ulinzi wake baada ya kuzingirwa na vituo vya kijeshi vya Marekani katika nchi jirani (Iraq, Qatar, Bahrain, n.k.). 🔴Iran haijawahi kuishambulia nchi yoyote Mashariki ya Kati kwa lugha ya kingereza ni (preemptive strikes) yani ni kushambulia kabla ya kushambuliwa. Israel imeanza kushambulia nchi 8 mashariki ya kati Egypt, Jordan , Syria, Lebanon, Iraq, Palestina ndo kila siku anashambulia, Iran, Libya. ⚠️Sasa Je kati ya iran na Israel ni nani anayepaswa kukatazwa kumiliki silaha ya Nyuklia? #viraltiktok #iran🇮🇷 #Tanzania

Anonymous Journalist
Anonymous Journalist
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 March 2026 10:34:46 GMT
90788
2947
70
791

Music

Download

Comments

shabanikizundu433
Shabani Kizundu :
CONGRATULATIONS PROFESSOR JEFFREY,
2026-03-22 12:08:06
29
user.makamegozi
Makame :
mi nilijua, mwisho watasema tu ukweli
2026-03-22 17:47:19
24
salumadam4
salumadam4 :
yupo sahihi🤔🤔🤔
2026-03-22 11:35:35
21
ngotwike37
Ngotwike :
professor yopo sahihi mpe tano
2026-03-22 19:06:04
14
babu_kasongo
King 👑 attitude 💫 :
2026-03-23 20:24:10
2
hilme215
Ray&nawal :
2026-03-23 04:08:43
4
jbb.sule
JBB SULE :
nice professor
2026-03-22 17:59:48
5
shakurjuma1
shakurjuma0 :
Umeenda vairo mkuu
2026-03-27 07:49:01
2
user9813100988825
Wakongwe first :
Kabisaaaaa 🥰🥰🥰
2026-03-22 12:13:51
8
ayush.al.mahri
Ayush Al Mahri :
mwenyezimungu atawateteya wairan Amin
2026-03-22 22:01:12
22
user6757661984136
yataka galbi :
2026-03-22 22:26:15
3
444gran
Grand :
like me followers me
2026-03-22 19:42:44
5
aisha.mrangi4
TRUST ME 💯✍️✍️🤝 :
2026-03-23 18:36:28
5
nuriatnuru2
nuriatnuru2 :
kweli kabisa,
2026-03-22 19:30:13
6
zanufa2
Zanufa :
huo ndio ukweli
2026-03-22 17:29:15
7
user4384256173730
user4384256173730 :
kweli kabisa
2026-03-22 17:33:03
6
mzeebrown1
Aboko :
Masha Allah thank you sir professor Jeffrey,
2026-03-22 22:07:01
9
mikidadisalim612
LKAO CHRINO :
ubarikiwe sn sir...✌️✌️✌️
2026-03-22 17:56:20
5
user4619145324666
Muhammad madunda :
maashaallah
2026-03-23 16:24:03
3
tanzatpr2u6
tanzatpr2u6 :
Kweli kabisa majambazi
2026-03-23 10:12:59
4
user3954558576671
A K :
..hamjasema bado.
2026-03-28 01:23:11
1
koudra.shabani8
Koudra Shabani :
ndio
2026-03-23 05:50:22
2
sonia.dangote
Sonia dangote :
yupo sahihi kbs
2026-03-23 20:59:53
2
user9654774796574
ali :
https://vt.tiktok.com/ZSu3sEorE/
2026-03-25 13:41:53
1
luyah539
luyahhhh✌ :
Thank you Sir 💓
2026-03-23 07:22:53
2
To see more videos from user @anonymous.journal82, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About