@jescanaturalfertility: “Faida za maziwa ya mtindi kwa uzazi wa mwanamke 💛🥛” • Husaidia kusawazisha bakteria wazuri ukeni (probiotics) • Hupunguza hatari ya maambukizi ya uke kama fangasi • Huimarisha mfumo wa kinga ya mwili • Husaidia afya ya mfumo wa uzazi kwa ujumla • Yana calcium kwa ajili ya mifupa imara • Huchangia mmeng’enyo mzuri wa chakula Kunywa mtindi mara kwa mara kwa afya bora ya uzazi ✨ #fyp #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪