nikipata mwanaume mpole mwenye upendo wa dhati ambae ataniongoza kufanya ibada nitalia kwa shukurani wallah kwasas nafsi yangu inataka amani nautulivu tu🥹😭
2026-03-23 19:40:33
155
user4858245486877 :
sawa mume wangu
mungu akulinde ufike nyumbani salama
mkeo nakusubiri sawa babaaa nakupenda sana tuluzo la moyo wangu😘😘🥰
2026-03-23 05:52:52
82
🦋...BADY OG❤️ :
we nenda t m nipo😁
2026-03-31 14:59:23
1
🎀baby🤍 rahyan ❤️🩹🙊 :
pole na kazi chibaba Wang tulizo la moyo Wang furaha yang. yaani in short ww ni Wang uwah kurudi nyumbn take care babeh huko rody chakula kipo tayari nakupenda king of my heart ❤️
2026-03-23 06:04:40
13
prencess-nanneh🥰🥰 :
pole na kazi t tulizo la moyo Wang furaha yang. uwah kurudi nyumbn take care beib uki rudy chakula kipo tayari uwe makin maan ww nd kila kit kwang☺️
utarudi saizi au unasafari nyingine 🤣😂😅nilale kwanza
2026-03-22 20:38:39
5
Arafa :
Alhamdulillah Kwa kumaliza Majukumu Yako Salama, Pole na Uchovu hubby Wangu, Nakusubiria Nyumban Mme Wangu Uje Uingie kukoga nikukande kukuondolea Uchovu Mpenzi, take Care Of yourself Ufike Nyumban Salama
2026-03-23 11:09:31
6
Miro nexus :
kuangalia video umeona haitosh umeamua kusoma comment😅😅, hongera mwanetu
2026-03-25 17:11:15
6
Husnainat :
kwaiyo
2026-04-24 16:30:53
0
Naah Simba :
sanaa😂😂😂
2026-04-02 14:38:55
0
🥀leem🥀 :
Sawa mume wangu, fika salama ila usisahau kile nilichokupa list asubuhi, maana jiko halitakuelewa usiporudi nacho!😂 Karibu nyumbani kipenzi🌹
2026-03-23 17:01:40
12
Baby R :
Alhamdulilah kwa kumaliza kazi na uwe makini barabarani urudi nyumbani haraka mn nimekumiss najihisi mpweke ukiwa mbali na mi Nakupenda sana 🥰😘
2026-03-24 09:52:27
6
Saadsaad Hassan :
jina lake hi nyumba gani
2026-04-09 16:45:37
1
i am joh :
sawa mume wangu,,ufike salama Allah akulinde nakusubiri kipenzi changu🥰
2026-05-21 21:21:23
1
NATASHA Nj :
sawa kipenzi changu kuwa makini barabarani sawa mpenzi but usichelewe daddy maana nimekumiss hatari
2026-04-14 11:30:05
1
zeezercollection :
Kuwa makin roho yang ufike salama last borns wako tunakusubir🥰
2026-04-14 10:45:33
0
jackline Ramadhani :
karb nyumbn mfalme wang🥰
2026-04-27 08:50:38
1
saidmatatizotire :
ple na kaz
2026-05-18 13:08:02
2
anny ayaan Dylan :
sina chakusema mm 🥺
2026-04-05 18:50:20
0
To see more videos from user @halal_boe, please go to the Tikwm
homepage.