@cyrahswardrobe_0: Day 03/120 Faida ya haya mazoezi 1. Yanaongeza hamu ya tendo la ndoa (Kama una matumizi nayo) 2 kubana misuli ya uke 3. Kuimarisha sphincter muscles ili kuweza kuhimili mkojo wakati wa activities kadhaaa Kama kuruka kukimbia au hata kucheka 4. Kuzuia uke kutoa sauti pindi unapoinama 5 kurahisisha orgasim Sababu ya misuli kubana na kuongeza raha ya tendo (Kama una matumizi nayo lakini) 6. Unafanya popote na kwa Muda mchache Who is in ?