@patmo.community.p: SOMO :BWANA ANATUKUMBUSHA KUHUSU MSAMAHA (FORGIVENESS) 🙏kwamba bila kusamehe Mungu pia hawezi kutusikiliza 🤔anasema kupitia mtumishi wake kwamba katika maagizo aliyoyatoa kuna msamaha pia ameongea kupitia kitabu cha MATHAYO 18:21-22 kwamba tusamehe 7mara 70 🤔🔥izo zote ni kusamehe tu😅 Ndipo tutapokuwa tuna haki ya kuongea na MUNGU.barikiwa sana endelea kufatilia @PATMO COMMUNITY PRAYERS CHURCH kwa ajili ya kuhudumia roho yako .☑️

PATMO COMMUNITY PRAYERS CHURCH
PATMO COMMUNITY PRAYERS CHURCH
Open In TikTok:
Region: ZA
Sunday 22 March 2026 18:47:17 GMT
435
40
8
4

Music

Download

Comments

ddaxh
17 :
Kamanda la imani❤️upendo mwingi sana kwa kiongozi wa section namba 2✊🏾❤️
2026-03-22 20:56:11
2
pojelly
POJ ELLY :
Nimewasameh 😃
2026-03-23 06:44:48
0
theo.mlowe
Theo Mlowe :
nimewasemeh
2026-03-23 07:31:13
0
diboz123
Diboz💥 :
Amen🙏🙏
2026-03-30 13:27:13
0
user2272246021222
lusia :
hongera sana babangu
2026-03-30 08:26:18
0
afra.mgaya
AFRA MGAYA :
👏👏👏
2026-03-24 17:12:46
0
To see more videos from user @patmo.community.p, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About