@justina.health.care: *PID (Pelvic Inflammatory Disease)* ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya ndani kwa wanawake. *Dalili kwa ufupi:* - Maumivu chini ya kitovu. - Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya. - Maumivu wakati wa tendo la ndoa. - Maumivu wakati wa kukojoa. - Homa au uchovu. - Kutopata hedhi vizuri au hedhi chafu. *Madhara:* - Ugumba (kutopata mimba). - Mimba kutunga nje ya mji wa mimba. - Maumivu ya kudumu ya nyonga. - Maambukizi ya mara kwa mara. *Ushauri:* Tibu mapema ili kuepuka madhara haya. #health #care #women ###viral_video #tiktoktanzania_zanzibar #pregnancy ####FPY #foryou #tiktokviral #foryoupage❤️❤️ #goviral #healthlifestyletips #pregnancy

Justina Health Care.
Justina Health Care.
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 March 2026 19:08:13 GMT
1833
33
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @justina.health.care, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About