@zulkaiybaby: Niwahadithie au mko busy🥲❤️🩹 yamenikuta bhanUsipite bila kusoma… unaweza kujiona hapa 💔 Nilichoka kupenda… nikachagua kukaa single mwaka mzima nijiponye. Niliporudi… nikakutana na mtu nikaona tofauti. Nikamwamini… nikampenda 😔 Lakini yeye ndiye aliyenivunja zaidi ya wote. Leo najiuliza… hivi mapenzi ni bahati au maumivu tu? 💔 ⸻ FUNZO: Usifungue moyo wako haraka… sio kila anayekuja baada ya maumivu anakuja kukutibu 💯#tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage #videotrending #lovestory
zulkaiya baby
Region: ZA
Monday 23 March 2026 06:08:47 GMT
Music
Download
Comments
adi :
mh
2026-05-02 05:22:20
1
user1852916161514 :
mamb vp
2026-04-08 18:42:50
0
Pachanga Magogo :
mbonakama warikwer
2026-04-23 20:58:34
0
armando :
unalia nn🥰
2026-04-04 23:30:30
1
user2672449356350 :
pole
2026-04-20 10:52:56
1
💪Otissi-Girl💪🇹🇿🇨🇳🇰🇷💪 :
😭😭😭❤️❤️❤️
2026-04-24 21:25:38
0
champion_car accessories :
look fantastic 🤩
2026-04-03 00:21:51
0
ryobacb28 :
pole san dada
2026-04-09 16:22:25
0
Eng. Abdilahi :
nini tena mchumba
2026-03-30 16:04:38
0
user5981687294458 :
Tuko nje ya muda
2026-04-12 00:54:05
0
martin_jr99 :
Jamani pole 😭😭😭😭
2026-03-23 11:37:15
0
BN ABDALLAH :
pole San
2026-04-05 06:43:21
0
user5494638727472Andone :
mwana ukajaliwa mashaallah ukazalika ww uko mtamu mamaa much love you guy🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰usilie mamaa npe location nikuletee hela mwana mtamu
2026-04-11 06:21:34
0
Moudy💪 :
Daah😂
2026-03-23 11:11:14
0
choma choma :
mambo
2026-04-09 10:30:13
0
baba mahli :
wengine wapo ucjali
2026-04-03 04:22:53
0
Alex :
❤️❤️❤️❤️mmb vp
2026-04-05 19:38:19
0
Zubeir Abuu :
pole jamani
2026-03-30 20:19:27
0
MUST HAIR STYLISH...mhs :
mmmh😳😳😳
sisemi kitu
2026-03-23 11:44:59
0
Abdully :
kama kwel pole
2026-03-23 16:22:36
0
maalesh code 29@ 🇦🇪 :
very nc 🥰👌
2026-04-09 09:28:46
2
teem :
kwa mfano🥰
2026-04-09 13:40:16
1
Mrs John Matara :
Mapenzi mazitto
2026-04-14 07:36:40
1
MO MONEY🥰💙💕💞 :
usichoke kuomba Mana Mungu ajawai KUCHOKA KUKUPA🤍🤍🤍✊✊🫂🫂🙏🙏🤗
2026-04-23 00:25:04
1
faresi simoni :
nimependa
2026-04-07 08:31:06
1
To see more videos from user @zulkaiybaby, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.