@evamrema2: chonga akili yako binti, hiyo ndo penseli itakayochora maisha yako. kuishi kivivu sio Kwa kila MTU . ✍️ Eva Mrema 0742630141 #kungwi_wa_kisasa #binti #mwanamke #mahusiano #wazazi
mbona wanawake wenye akili za namna hii Huwa nawaona mtandao tu!!!! Ee MUNGU naomba Binti mwenye akili za namna hii nikutane naye Mimi, Dunia inikome kunitesa jamani
2026-03-24 02:54:34
118
Exorcist :
dj ongeza sauti wasikie vizuri
2026-03-23 13:50:20
108
official_beny :
Elf 50 kubwa sana nauli tu
2026-03-23 14:58:35
39
teddy :
Nikweli kabisaa mumy pokea mauwa yakoo 🥰🥰🥰🥰
2026-03-23 10:22:08
23
jerryberry621 :
proud of you
2026-03-23 09:31:20
12
Winnie Brightonny :
Upo sahihi dada🙌🙌🙌
2026-03-23 13:04:27
34
Eligidius Jovini :
hongera sana dada kwakuwapa madini makar
2026-03-23 13:33:47
52
binti_ya_kristo :
ukweli mchungu sana🙏🙏🙏🥰
2026-03-23 17:01:48
44
Doris Tarimo :
Dada hitakiwi kuishi Tanzania fanya uruke na NDEGE unaakili nyingi sana🥰🥰🥰🥰🥰
2026-03-23 14:19:24
33
salim focus :
nakubali 10/10
2026-03-24 00:57:09
5
😍 :
Kwishaaaa sisi
2026-03-23 13:26:59
13
matharini🫶🫦 :
Nikweli dada
2026-03-23 12:47:13
8
JOJO POINT COLLECTION :
hakika
2026-03-23 12:54:04
7
Jackline Munyiva557 :
kweli kabisa
2026-03-23 19:43:08
11
Mohamed Issa :
huyu ndo dada wakwanza Tanzania kuongea jambo la maana sana hongera sana nina zawadi yako.
2026-03-24 07:52:36
33
sultan :
naomba uwe mke wangu nikona pesa vile ww
2026-03-30 07:34:30
6
cut uw@ridy :
nimeipenda nakupenda zaidi wale wanaoliwa ndowale awatokuelewa
2026-03-23 15:18:40
28
ney💝 :
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 zambi zako nipewae mim😁😁😁😁🥰🥰🥰🥰🥰
2026-03-23 12:43:54
29
Morgan Taylor :
huyu Dada alindwe jamn wamebaki wachache sanaa 🔥🙏🏾👑
2026-03-23 16:59:49
11
Aziza H :
hakika umeongeya point😘
2026-03-23 13:38:51
13
Monika fashion 🪡🪡 :
ni kweli kabisa
2026-03-23 13:05:55
7
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm
homepage.