@eddy_kudotz: Don’t give up #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #sad #kids #fyp

Eddy_kudotz🇹🇿🇺🇸
Eddy_kudotz🇹🇿🇺🇸
Open In TikTok:
Region: US
Monday 23 March 2026 07:14:52 GMT
39765
3665
303
161

Music

Download

Comments

eddybe2b
EddyB :
ipo siku nina uhakika Nitawalea na kuwasaidia watoto kama hawa, Mungu aendelee kunipa Uhai na kufungua milango ya kipato tu. Amen
2026-03-23 14:34:04
14
salmini_msafi
salmini_msafi :
😭😭😭😭 imagine haupo hai, mwanao anateseka hivi duniani..... duh, Mungu awajaze watoto hawa
2026-03-23 12:46:11
21
joleentz
Jojotz🦋 :
Mungu wape hawa watoto afya njema
2026-03-23 12:50:22
20
b.u879x
x :
Oh my God bless them 🙏🙏
2026-03-23 13:00:58
3
abb.loth
Abby❤️ :
Yesuu🥺🥺 wew ni mwaminifu😭🫂🫂
2026-03-23 13:29:42
2
ney.4.really
Ney 4 Really :
ee mungu naomba nijalie miaka mingi nipate kuwatunza watoto wangu
2026-03-23 13:11:12
8
hadjamduma
Hadja M :
daa poleni san mungu awape nguvu
2026-03-23 08:51:29
20
mamba_ni_m1
MAMBA 🐊 :
Nampenda Mungu maana ametuahidi zitakuwepo Nyakati ngumu lakini hazitadumu Amen
2026-03-23 20:14:24
1
villani97
Vee__🦋💞🧸 :
😭😭😭😭😭ata nashindwa kuongea yan
2026-03-23 12:51:10
6
sumagirl1
sumagirl😇🥰 :
Mungu naomba nilindie uzao wangu wasipate tabu kama hii, God please 😢🤔
2026-03-23 18:19:39
2
girl.alone035
girl alone🥰🤫🦋 :
mungu anawatu wengi hawa pia niwakwakwe htoacha kuwapa braka zake kamwe🥺
2026-03-23 12:44:33
5
noreen.tengio
noreen tengio :
polen san na mungu awatunze vyem
2026-03-23 12:32:23
8
user7460612097414
SImwanza :
Mungu wangu
2026-03-23 14:02:49
1
user7361981325042
Kzuu :
poleni sana
2026-03-23 14:43:50
1
user4187525817753
christiano CRM :
Mungu nipe hekima,
2026-03-23 13:26:24
2
user2702837018709
scola msuya :
jmniiii
2026-03-23 14:34:32
1
erickoz41
maritz :
Eeeh mungu simama kwa wanao baba😌😌😌
2026-03-23 09:11:39
2
esterhaddy
esterhaddy :
God😭😭😭😭😭🙌
2026-03-23 13:05:07
3
onesmo.maskrepa
Onesmo maskrepa :
Ee Mwennyezi Mungu nakuomba kila tone lililotua juu ya watoto hawa ikawe ndiyo utakaso wao na Baraka kwao uwalimde na maradhi yote uwafunike na mkono wako
2026-03-23 13:38:12
4
user99988155981746
user99988155981746 :
mungu yupo pamoja nao
2026-03-23 12:35:22
3
francisbruno263
Francis Bruno :
kam unaamin mungu yupo gonga like hap
2026-03-23 09:11:27
3
dijkaran10
Dija 🦋😘 :
mungu walinde watoto wote dunian🙏🙏🙏
2026-03-23 13:35:48
2
alph21586654125456
alph🙏🅰️ :
dhaah
2026-03-23 14:42:36
1
mrshd.20
Mrs HD ❤️ 😍 💖 :
poleni mungu awalindi mkue nawapenda
2026-03-23 12:34:37
3
monca210
ma Caren :
Eee Mungu wakumbuke watoto hawa😭😭
2026-03-23 12:37:10
3
To see more videos from user @eddy_kudotz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About