@alhabeeb_sulesh: Asante Wana Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla jana mlituheshimishaa sanaa

Alhabeeb sulesh
Alhabeeb sulesh
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 March 2026 08:21:49 GMT
515849
31253
498
472

Music

Download

Comments

jay_pan1
CHALAB👑✨️ :
daaah hii sound inasisimua ndani ya moyo wallah😭
2026-03-23 12:55:29
528
bushir.messi
Bushir messi :
jamani wasilamu wazuri kwel
2026-03-23 13:25:39
462
sam.malick8
Sam Malick :
Assalamualaikum, waandaaji mjitajidi kuepuka michanganyiko ya wanaume na wanawake hasa katika matukio yanayoamdaliwa kwa sura ya dini, wallah aa lam
2026-03-23 23:29:17
140
suad.sultani2
mama boys :
mwili unasisimkaa wallh
2026-03-23 10:51:30
149
abdulwahidsaid782
Abdulwahid Said :
upuuzi mtupu
2026-03-25 13:51:43
10
its_dee32
Khaديjah🎀 :
Apparently this should be done in Mombasa kenya 😭🥰
2026-03-23 17:55:21
26
duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
Watu wa Zanzibar tunasubiri na sisi kwa hamu sana sanaaa
2026-03-23 17:27:57
31
teddyjohnson426
Teddy oswady :
mimi mkristo ila hii nyimbo hapana jmn🙌🙌inanikataga mawazo yote wallah
2026-03-23 13:26:44
40
zaisha359
Zaisha Dimpoz :
Hii wap jamn mbona hamkunambia
2026-03-23 15:42:38
13
shunaa_makeup00
SHUNAAA🦋 :
Mje na Zanzibar🥹
2026-03-23 08:43:39
47
mamsatty
Mamsatty :
Tulienjoy sana wallah 🙏🥰
2026-03-23 09:34:19
10
ukhtyshuu182
husnashy collection❤👌 :
mbn sijioni jmn 😁
2026-03-23 12:33:53
31
sophy.255
*sophy*🦋🌹 :
jaman nasisimka ivi kwann sikupata chance ya kushiriki mm
2026-03-23 11:39:50
25
mamaalao2345
user20 :
htaa mimi nmesisimkaa hii ni maajabu😭😭
2026-03-23 14:13:03
5
fundi.azizah1
luluh🎀🎀 :
mashalah mashalah so mnajazaga show za kina diamond hz xaxa ndo kumbi za kwer za kujaaa kama hv 🥰🥰🥰🥰
2026-03-23 08:53:07
30
_rashmah
Rashmah :
mumetutenga sisi wenye tuko kenya😭😭😭💔
2026-03-24 04:39:52
9
sambae25
Prettycham❤️♍️ :
Kumbee kujibiwaa maombiii inakuaga iviii🥹❤️🙌
2026-03-23 22:08:53
5
gwantaman45
Gwantaman :
mashaallah
2026-03-23 08:26:52
6
heartvacay0
Not.Your.Darling :
Kila lenye kheri litakuja kwetu biidhinillah Ameen 🤲🥹
2026-03-23 16:49:10
5
queen_liyaah
queen_liyaah :
wasssssss🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
2026-03-23 09:01:21
7
mamymiriam3
mamymiriam3 :
mashaAllah tumeenjoy sanaa Allah awajalie kheri IshaAllah
2026-03-23 08:56:53
5
mtoto.wa.dady28
💛 :
mashallah 🥰
2026-04-27 21:18:58
1
unknowndestination7
Unknown destination. :
Ndio disco gani hili la stara ya MAVAZI.
2026-03-25 19:20:16
0
shufaa.gumbo
Shufaa Gumbo :
jina la kaswida jmn
2026-03-30 06:31:12
1
chinunu_collection
CHINUNU COLLECTION ✨🌹 :
2026-03-24 19:42:43
2
To see more videos from user @alhabeeb_sulesh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About