@babaabebeeaogopaa: Sportsupdates: Kikao kizito kinaendelea Jangwani. Jangwani hapa kuna kikao kizito caha uongozi wa Yanga chini ya raisi wa Yanga Eng Hersi pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo wakiongozwa na kocha Pedro Goncalves na wasaidizi wake. #trendingvideo #sports #yanga #trend #babaabebeeaogopaa