@dottokivambo: Happy birthday to you BINGWA MWENYE HEKMA NA ELMU 🎂🎂 Allah akupe umri na afya njema MWAMBA🎂🤲🏾 #mazaugtz #mazaugeidgrand #tanzaniatiktok #Dar @SHEIKH WALID ALHAD TV @DarsaTv @Babdeo @Saimu Gwao @arahmantvOnline @Masjid_Mtoro_Tv @zanzibar tik tok
dottokivambo
Region: TZ
Monday 23 March 2026 12:22:45 GMT
Music
Download
Comments
hussiwildexplorer :
Tofauti na Diamond platnumz ni ipi?
2026-03-24 02:24:18
243
Abrahmani Farouck Is :
hamna shehe hapooo
2026-03-24 08:18:44
116
Mo Bulls. :
Uhuni wa hali ya juu... Allah awaongoze
2026-03-23 19:21:13
247
Yaa :
huu ni mswiba kwa kweli Allah atuongoze sote🙏🙏🙏
2026-03-23 19:43:02
117
ABDULKARYM :
sema mashekhe mnatukosea sana mara mseme mziki zambi mara na nyie muimbe sa tuelewe vipi hapo
2026-03-24 04:53:14
118
user35447069144714 :
mashaallah kusema la ukweli huyu shehe napenda Sana natamani hata angekuwa mumewng WA ndoa napenda Kwa kweli
2026-03-23 14:17:14
193
masoud :
hii na tarabu tofauti yake nini?
2026-03-23 19:42:08
73
user5251869886405 :
Acheni kuharibu dini ,tafuteni sifa kwa ALLAH.siyo kwa binadamu ,yaani shekh unaimba taarabu umejidhalilisha sana
2026-03-24 04:07:29
61
MillenMimah🌎🦋 :
Lizur alaf linajijuaaa🥰🥰
2026-03-24 10:33:29
12
zai :
napenda smail yake💞
2026-03-24 07:31:16
6
UWEZO :
MASUFI ICHI NDO WANACHO WEZA
2026-03-23 19:34:44
28
Evansville :
nimejikuta tu meno Yako nje🥰MashAllah huyu bila mahari anioe🤣
2026-03-24 07:40:53
33
Munaa :
acheni kuhukum watu kama hujapenda pita kibubu muhukumu ni allah🥰🥰🥰🥰
2026-03-24 17:55:21
21
Daty..🥰 :
Shekhe ana tabasamu zuri jaman Mashaallah🥰🥰
2026-03-23 20:24:34
44
MWANAMKE WA KIISLAM FOUNDATION :
PAMOJA NA WAKE ZA WATU SUBHANALLAH INALILAHI WAINAILEHI RAJIUN ALLAH ATUONGOZE SOTENI UMMAT MUHAMMAD
2026-03-23 19:51:38
55
khaurah11 :
wenye ashik na bwana mtume Muhammad s.a.w gonga hapa🥰
2026-03-24 04:32:45
28
Fadhila Mraja :
Hakimu ni Allah tu pekee
Allah atujalie mwisho mwema sote
2026-03-25 18:53:24
13
Zaituni Ally :
inalilah wainalillah rajighun shehe na happy birthday wapi na wapi msiba mzito😭😭
2026-03-24 14:00:26
5
jafalijuma2 :
nilichogunduaa jamaa mnafiki sana huyu. lin mwislm akashel3kea habi birthday
2026-03-24 08:39:08
24
nusra :
Allah akupe mwisho mwema shekhe wetu wa mkoa na unanyota ya kupendwa mashallah
2026-03-24 08:42:42
14
user8782019486747 :
Am cristian but i lov this man of God.........🥰🥰🥰🥰
2026-03-25 12:00:25
6
ggaman278 :
SHEEE WALID KULA MAISHA BABA USHASUGUA SANA BENCHI
2026-03-23 20:42:59
74
Dasko Fashion :
Mungu akikupa nuru ya kupendwa utainjoi sana sasa kwa mfano hapo anaimba nn mpaka kushangiliwa hivyo
2026-03-23 20:49:18
24
First boe_Dill :
sijapata bahati ya kusoma dini siku nikipata hiyo bahati naenda kusoma kwa Walid Alhad
2026-03-24 05:06:37
23
nifah :
nampendaga sana mimi huyu sheikh sana sana🤩
2026-03-24 08:38:11
5
To see more videos from user @dottokivambo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.