@chipupute8: VIUNGO๐Ÿ‘‰@mimer_fresh BREMBO๐Ÿ‘‰@naswiat_brembo_og Chicken Shawarma za nyumbani ๐ŸŒฏ๐Ÿ”ฅShawarma za kuku hizi apa Crispy nje, juicy ndani, na sosi moja tu simpo Za kununua zipoโ€ฆ lakini hizi za nyumbani ๐Ÿ‘‰ akaunti bado inapumua na tumbo linafurahi ๐Ÿ˜Œ Ingredients ๐Ÿ“๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ— Steak ya kuku ๐ŸŒฏ Shawarma wraps Kwa marinade ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ— Chicken masala ๐Ÿง‚ Chumvi ๐Ÿถ Vinegar ๐Ÿ›ข๏ธ Mafuta Kwa sosi ya shawarma ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿฅ„ Mayonnaise โ€“ ยพ kikombe ๐ŸŒถ๏ธ Pilipili manga โ€“ nusu kijiko ๐ŸŒถ๏ธ Pilipili ya unga โ€“ nusu kijiko ๐Ÿง‚ Chumvi ๐Ÿ‹ Maji ya limao ๐Ÿฌ Sukari โ€“ vijiko 2 ๐Ÿ›ข๏ธ Mafuta โ€“ robo kikombe ๐Ÿ… Tomato paste โ€“ vijiko 2 ๐Ÿง„ Kitunguu saumu Mboga ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿง… Kitunguu ๐Ÿฅ• Karoti ๐Ÿฅฌ Cabbage ๐Ÿ… Nyanya Tuambie kwenye comments ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‰ wewe unapenda shawarma iwe na nini ndani? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ #chipupute #shawarma #chickenshawarma

Chipupute8
Chipupute8
Open In TikTok:
Region: MD
Monday 23 March 2026 13:19:45 GMT
188013
10549
258
759

Music

Download

Comments

user96865521675951
shyliz #30 :
Naomba jmn kufundishwa jinsi ya kutengeneza hiyo manda ya shawaryma!
2026-03-23 14:07:28
53
user1lbxtofz6w
user46845469895 :
we jamaaa leo umenisema aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-03-25 09:31:04
1
moredaxyne
Gen XY :
napenda unavyoongea ๐Ÿฅฐ temeke shawarma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-03-23 20:35:18
6
shamylucky4
shamylucky๐Ÿ˜˜ :
lakiniiiiiiiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hayo maneno unapataga wapiiii lakiniiii
2026-03-23 19:40:00
21
nuratyabdallah216
Ummu๐Ÿง :
ila uyu swaum kijuba kak๐Ÿ˜…
2026-03-25 23:48:56
4
phoy054
phoy๐Ÿฅฐ :
chipu wauza viungo karatu wanapatikana wapi?
2026-03-25 14:31:53
1
rosemasecha
maunge :
iyo scrub ya brembo naipaje?
2026-03-25 16:42:11
1
nono_decorstz
Nono decors tz :
Shawarma wrap zinauzwa wapi?
2026-03-24 07:25:47
5
khamisismail105
Khamistocrat :
Shuka la shawarma
2026-03-24 13:55:37
2
estez.gee
Sagittarius๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
ngoz tam sitoi,๐Ÿ˜”
2026-03-25 14:46:15
1
nattymom12
Missapple12 :
Kwa receipt rahisi rahisi kutoka kwa CHIPUPUTE๐Ÿฅฐ
2026-03-23 15:08:11
6
zena.almas3
zenabu Almas :
so yummyโค๏ธ
2026-03-25 14:22:21
1
sabrinah.zahor
@Mrs.nguzo og :
soda yenyewe iwe Pepsi ss๐Ÿ˜‹
2026-03-24 06:04:19
1
gp93653
GP93 :
shuka la shawarma
2026-03-25 14:45:59
1
veemackline
Vachine Mackline :
resepiii rahisi rahisi kutoka kwa chipuputeeeeeeeeeeeee ila endelea kutu comfyuzรฌii tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-03-24 08:14:34
8
iamreallyannie
itsnovasole :
hyo si burrito au
2026-03-23 14:08:19
5
ukhty.aisha
Ukhty Aishy :
B
2026-04-07 12:14:11
1
__ms.dee_
ms.dee :
Shuka la shawarma
2026-03-23 19:19:39
1
brilightssy
bissy :
kwahih elfu 5 nnayoachiwa ya matumiz๐Ÿ˜‚
2026-04-23 06:27:58
3
mrs.___68
Ms ___ :
me nimefata michambo tu
2026-03-24 12:13:11
1
suleiman.90s
Suleiman 90โ€™s :
Tusimulie mkuu
2026-03-24 08:12:21
4
user953588489
Joyce Emma :
nakupenda sana chipupute โ™ฅ๏ธ๐Ÿ”ฅ
2026-03-24 08:34:09
3
bbzy44
๐Ÿฆ‹maryam๐Ÿฆ‹ :
shuka la shawarma๐Ÿ˜‹
2026-03-23 15:19:49
1
vinrichard6
ViNc RiCh :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sema unaongea sana i see
2026-03-26 09:24:24
1
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About