@kevychazy_: @maimarthajesse amesema kuwa @qute_mena hivi sasa ni mjamzito, #zuchu ni mjamzito na @kajalafrida pia naye ni mjamzito wanatarajia kujifungua watoto. Full interview ipo kwenye Youtube Channel ya #chazymedia #tiktokindia #fyp #viraltiktok
kevychazy_
Region: TZ
Monday 23 March 2026 15:07:45 GMT
Music
Download
Comments
sparky girl💦👀 :
kajala????
2026-03-23 20:40:01
369
Mamosi12 Outfits 👗🛍️👜 :
Mtoto wa wema jamani aje mapema maana ni mtoto wa taifa Mungu amlinde mtoto na mama yake wawe salama 🙏
2026-03-24 07:49:44
2532
user75612620928204 :
mungu mbariki wema apate mapacha watatuuu
2026-03-24 03:48:10
1858
zubeda213 :
if you happy for wema like my comment🥰🥰🥰weeeee💃💃💃💃
2026-03-24 09:32:35
795
al-hamdan :
arobaini ya mtt wa wema ifanyike stadium 🥰
2026-03-24 08:13:38
560
favour :
ila huyu mama
2026-03-23 15:53:11
297
🍷 LYDIAH.🍷.FX.🍷(MUM.B)🥹🍷. :
am just happy for wema sepetu🫂🫂
2026-03-26 16:54:13
279
Jordinlee🦋💎 :
Ntafurah sana kama kweli na WEMA yumo😢🙏🙏
2026-03-23 17:46:08
981
luxe petal🍎 :
uyo cute meena mimba ni ya mume mwingine au jmn🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-03-23 16:48:47
137
mtu pisi🫂🫂 :
wangapi wamefurahi kama mm wem kupata mimba
2026-03-26 11:45:20
46
reinejamo 355 :
30/30chap nalipa
2026-03-24 06:23:32
6
Emmy🦋 :
WEMA we are happy for you 🫂🫂❤️
2026-03-25 10:31:59
180
Jacque :
Wema hongera kwake,hakika Mungu ni mwema hawai wala hachelewiii👏🏻👏🏻
2026-03-23 20:00:20
55
norahmike509 :
Wema Mungu ampe mapacha waNNE🙏😔
Ila cute Mena mmh🙌🙌🙌
2026-03-24 07:51:54
140
agness_ :
me nasubili jamani mtoto wa wema
2026-03-23 21:15:36
194
86867272 :
mtoto wa wema ni mtoto wa taifa na dunia nzima mungu simama na wema mda wote 🙏🙏
2026-03-28 10:25:59
9
ROCH MINE🦅girl💫💸 :
10/10 chap
2026-03-23 19:27:21
9
veronica :
wema Mungu amsaidie jaman nina furaha san kusikia wema mjamzto ad machoz yamenitoka dada kasemwa sana kweli wakat wa Mungu ni sahihi nina ushuhuda
2026-03-24 09:24:43
32
Mama boy 🇹🇿❤️🇿🇦 :
Mungu iwe kweli kwa wema nimefurai🥰🥰
2026-03-24 07:25:36
49
barbie_belle🥰 :
mm pia natarajia
2026-03-23 16:06:09
114
Mariana Ng'eni :
mtoto wa wema me ndo namsubiri jamn
2026-03-24 10:47:46
16
tin@h :
cute meena ndo nani 😁
2026-03-24 09:46:53
63
irene nyari :
km wema ni kweli nashukuru mungu kwa ilo kweli
2026-03-24 06:01:55
26
fatma :
Ee Mungu mbariki wema!! na wenzake
ushauri -
wapunguze kujionesha mitandaoni hasad ni nyingi.
2026-03-23 20:48:39
23
I am Atieno :
nimesikia ya Wema malaika zikasinama. Am really happy for her from Kenya🥰🥰🥰🥰🥰
2026-03-26 11:56:50
18
To see more videos from user @kevychazy_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.