@mr_nkiliye: Watoto hawa wamesimama kwenye foleni ya chakula, wakipambana na hali ngumu kuliko umri wao. Kuna wengine wanakimbia mvua, hawa wanasimama ndani yake wakisubiri tumaini kwasababu kwa wakati huo wanajua hawana mbadala zaidi ya hapo.🥲 . #charity #tanzaniatiktok #communityempowermenthub